Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,898
- 1,051
Pole sana ndugu.Tatizo kama hilo nilikuwa nalo na mke wangu kwa miaka miwili hakupata mimba ila kwa sasa ana mimba ya miezi 2.Tuliangaika sana mpaka Kariuki,Amana na mhimbili.Yawezekana huyo mwanamke wako alitumia njia za uzazi wa mpango ambayo imempa matatizo na hata ukienda hosp ila kama uko dar nitumie private message nikuelekeze tuonane uso kwa uso nikushauri au nikupe namba yangu unipigie simu nikupe ushauri.Pole sana,najua mpo kwenye hali ngumu kimawazo.