Dogo uache kiherehere hapo una download vitu sehemu Bila kujua na bado unaandika as if una uhakika nacho haya Mambo Kama haupo huko huwez ukaweka chochote kinachoeleweka tafuta vya kuongelea cio hayo ya jwtz
Sent using Jamii Forums mobile app
Haujamkwaza mkenya Ni Mimi mtz tatzo ni umbumbumbu wako kutokujua formation za mapigano ya kijeshi na hujui hao kwanini wamekaa hvyo na kwa kiasi gani wapo salama na kujilinda kwa attacks zozote za kigaidi ila unaongea Tena unatengeneza thread ndefu yenye maelezo ya kiraia kwa jeshi la KDF huo...
Wewe pata shida tu Kwan ukipata shida kutofautisha kati ya uislam na ugaid familia yko inafaidikaje n wewe kupata shida hyo thread Ni ya mazuzu
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.