Yuko wapi mwanasiasa nguli Habib Mchange?

Yuko wapi mwanasiasa nguli Habib Mchange?

habibu mchange nguli wa siasa? huyu alitumwa akatumika ni mchumia tumbo. alianza kujihusisha na siasa mwaka 2008 hivi akiwa udom..baadae akaja kuteuliwa kuwa mgombea ubunge kibaha. alishinda 2010. bwana koka akampa mpunga mwanana. akanunua fanicha na makorokoro kibao ya ndani kwenda kuanza maisha hko tabata. wenzake chadema wakimpigia hapokei .kumfuata alipo wakakuta uzunguni. lwakuwa kitila alikuwa cdm kwa kazi maalum akawa anamtumia kwenye baadhi ya kazi zake na alimplant ili awe anajua nyendo za zzk. matokeo yake baada ya uchaguzi kapewa jamvi la habar na kuanza kuwagawa watanzania kwa hoja za viroja.
boya mchange aliuza ushindi mchana kweupe
mzee makamba alitia timu mchana akaongea na kijana biashara ikaisha,vijana waliokuwa wanashinikiza atangazwe mshindi waliishia kupigwa mabomu
mchumia tumbo alitokea mlango wa nyuma na briefcase chini ya ulinzi mzito
stupid mchange,hii leo njaa iko pale pale heshima zero
 
Huyu jamaa alikuwa ndio injini ya chama cha ACT wazalendo na alikuwa ndio msaidizi mkuu wa KC Zitto Kabwe. Kwa muda sasa sijamsikia pale Ujiji au ndio aliondoka na Prof Kitila!!
Jamvi la news
 
Tunaweza tusielewane lugha - hebu ufafanuzi kuhusu neno nguli - hapo wengi watajuwa kweli Habibu yu ktk kundi gani
 
boya mchange aliuza ushindi mchana kweupe
mzee makamba alitia timu mchana akaongea na kijana biashara ikaisha,vijana waliokuwa wanashinikiza atangazwe mshindi waliishia kupigwa mabomu
mchumia tumbo alitokea mlango wa nyuma na briefcase chini ya ulinzi mzito
stupid mchange,hii leo njaa iko pale pale heshima zero
Duh! Pesa hizi... ila si mwandishi wa habari kwa sasa?
 
kausomea wapi wakati hata udom aliacha akakimbilia upambe baada ya kuonjeshwa kibunda cha kuuza ump
Nimenukuu wadau hapo juu waliposema kuna gazeti analifanyia kazi nikaona atakuwa mwandishi.
 
Kile kigazeti uchwara cha Musiba Tanzanite zile pumba zote ni kazi ya huyo Habib Mchange na hilo boya Musiba.
Mkuu huyu alikuwa na kipeperushi chake kinaitwa jamvi la habari ndio alikuwa anahangaika nacho, ila nina muda kidogo sijaona akikirusha kwenye akaunti zake kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, nahisi wafadhili wake wamesitisha huduma hivyo hawezi kujiendesha tena, moreover huyu anayeulizia ndio yeye mwenyewe, hapa kaja kupima upepo kama bado kuna watu wana time nae.
 
Kile kigazeti uchwara cha Musiba Tanzanite zile pumba zote ni kazi ya huyo Habib Mchange na hilo boya Musiba.
Hujidai kuwa wao ni CIA wa Tanzania waliwahi kumkuta mbunge wa chadema mh Heche anakula break point Wakamtishia Maisha huyo Mchange kawa mjinga sana anajiona kama utawala huu wa awamu ya 5 utakaa ikulu miaka 100 na mwenzake Musiba yy kaamua kuingia kwenye kikundi cha wasiojulikana na pia kikundi cha propaganda cha CCM, kwa kifupi hivvyo vijamaa viwili ni Sumu kwa upinzani vinatumika kuhujumu chadema kwa nguvu kubwa.
 
Mkuu huyu alikuwa na kipeperushi chake kinaitwa jamvi la habari ndio alikuwa anahangaika nacho, ila nina muda kidogo sijaona akikirusha kwenye akaunti zake kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, nahisi wafadhili wake wamesitisha huduma hivyo hawezi kujiendesha tena, moreover huyu anayeulizia ndio yeye mwenyewe, hapa kaja kupima upepo kama bado kuna watu wana time nae.

Ndiyo hao hao Mchange na Musiba ndiyo wapo kwenye vijarida uchwara vya kutengeneza uchonganishi baina ya Serikali na upinzani.
 
Mchange aliondoka ACT kwa kashfa ya kula rushwa ya pesa kwa ahadi ya kuwapatia wanawake fulani viti maalum
Uchaguzi ulipoisha kura za kupata viti maalum hazikutosha,anaambiwa ateme pesa hana na yeye alizipeleka kwa mgamga ili ashinde kibaha mjini.
Keai ikafika kwa Mwami,mkwavinyika,Sultani mkuu Zitto Zuberi Ruyagwa,akamuomba ajiengue tu ili kunusuru NGo yao
 
Hujidai kuwa wao ni CIA wa Tanzania waliwahi kumkuta mbunge wa chadema mh Heche anakula break point Wakamtishia Maisha huyo Mchange kawa mjinga sana anajiona kama utawala huu wa awamu ya 5 utakaa ikulu miaka 100 na mwenzake Musiba yy kaamua kuingia kwenye kikundi cha wasiojulikana na pia kikundi cha propaganda cha CCM, kwa kifupi hivvyo vijamaa viwili ni Sumu kwa upinzani vinatumika kuhujumu chadema kwa nguvu kubwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom