AINA IPI YA COMPUTER [LAP TOP] NI NZURI?

Chukua hiyo
IMG-20181008-WA0024.jpeg
 
Kwa wale mnaosema lenovo kwa bei hiyo huwezi kupata lenovo thinkpad mpya hizo ambazo ni nzuri na ni business class, ataishia kupata ideapad, dell ataishia inspiron. Unataka laptop nzuri mpya anzia laki 8. Na pia kwa brand nzuri hata kwa hizi low class nenda hp
 
Mimi nimetumia Dell Mini Latitude 2100 mwaka wa saba sasa kwa mtumizi ya kawaida kabisa sio gaming wala movies unaweza nunua hii.Ni very economical Laptops.
 
Mambo!
Aisee ni computer [Laptop} gani ambayo ni nzuri kwa maana ya kudumu na muonekano mzuri, na kwa Dar es Salaam ni sehemu gani ninaweza pata ambazo ni original.

Tafuta dell kwa sababu ni computer ambayo ni kawaida sana hata maintenance yake ni ya kawaida sana.

Lenovo imenikera kitu kimoja. Zipo lenovo ambazo RAM zimechomelewa kwenye motherboard, Battery ipo ndani mpaka ufungue laptop nzima ndio utoe battery, Wifi Adapter hazifikii za dell au computer zingine kwa speed, zinakuja na Hard disk za Toshiba ambazo ni ovyo kabisa, USBO port chache(Mara nyingi zipo 2 tu), Sound mbaya (nyingi zina Speaker moja tu). Hayo mapungufu hayapo kwenye Dell au HP. Ila Toshiba ndio ovyo kabisa.
 
inategemea na kama unataka kitu cha kudumu au kizuri
kama ni kitu cha kudumu HP na DELL ndio brand imara tena kama series za compaq na elitebook. Ila lenovo pamoja na acer na kampuni nyingine zina vitu sophisticated kama ndio unachohitaji
 
Mambo!
Aisee ni computer [Laptop} gani ambayo ni nzuri kwa maana ya kudumu na muonekano mzuri, na kwa Dar es Salaam ni sehemu gani ninaweza pata ambazo ni original.
computer au laptop zimetengeneza aina mbali kama unavo jua magari japo yote yana tembea.tatizo sio kampuni bali ni computer au laptop gani inayopatikana mazingira yako na mgani inayo weza kuendana na matumizi yako kuendeana na wakati na mfuko wako
 
Mimi nimetumia Dell Mini Latitude 2100 mwaka wa saba sasa kwa mtumizi ya kawaida kabisa sio gaming wala movies unaweza nunua hii.Ni very economical Laptops.
Bila shaka ni Pentium II
 
Tafuta dell kwa sababu ni computer ambayo ni kawaida sana hata maintenance yake ni ya kawaida sana.

Lenovo imenikera kitu kimoja. Zipo lenovo ambazo RAM zimechomelewa kwenye motherboard, Battery ipo ndani mpaka ufungue laptop nzima ndio utoe battery, Wifi Adapter hazifikii za dell au computer zingine kwa speed, zinakuja na Hard disk za Toshiba ambazo ni ovyo kabisa, USBO port chache(Mara nyingi zipo 2 tu), Sound mbaya (nyingi zina Speaker moja tu). Hayo mapungufu hayapo kwenye Dell au HP. Ila Toshiba ndio ovyo kabisa.
Umeongea ukweli mtupu,
 
Nunua dell. Hizi zinakaa na chaji mpaka masaa 8. Trna ukipata Latitude E6430 ama ya juu yake hutajuta. Ziko bomba sana
HII NI MACHINE BEI YAKE HALISI IPOJE. MAANA NDO NATUMIA USED.
 
Tafuta dell kwa sababu ni computer ambayo ni kawaida sana hata maintenance yake ni ya kawaida sana.

Lenovo imenikera kitu kimoja. Zipo lenovo ambazo RAM zimechomelewa kwenye motherboard, Battery ipo ndani mpaka ufungue laptop nzima ndio utoe battery, Wifi Adapter hazifikii za dell au computer zingine kwa speed, zinakuja na Hard disk za Toshiba ambazo ni ovyo kabisa, USBO port chache(Mara nyingi zipo 2 tu), Sound mbaya (nyingi zina Speaker moja tu). Hayo mapungufu hayapo kwenye Dell au HP. Ila Toshiba ndio ovyo kabisa.
Si hivyo tu LENOVO hadi processor yake imeungana na motherboard....nlikuwa nayo Lenovo processor ikaanza sumbua hivyo hakukuwa na namna zaidi ya kuuza kama spair tu na nilikaa nayo kwa mwaka 1 nam miezi nane tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom