Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,661
- 6,909
Namiliki familia tu na kijiofic cha kujipatia riziki.
Na kweli maana wengi wetu tumefanikiwa kumiliki
😀😀😀😀, hiyo cofee table nimeielewa sana na maua ya plastic duh,safi sana ,you're in the right track kabisaNGOMA na stuli zake za ngozi...ndy coffee table yangu,,kitanda ninacho cha KASUKU,,futi 4 kwa 6 ..na Maua ya plastic....nilinunuwa mwaka 1987 vinadumu mno,,hadi leo ninavyo
Ila tutakiwa tuwe na kitu na tuache kitu dunianiNina mbupu tu and life goes on. Hatukuja na kitu Duniani na wala Hatutoki na kitu
Hiyo papuchi haijakumilikisha mwanaumeMi sina kitu aisee namiliki papuchi tu
Kwan vp mkuu?Wow,uko vizuri mkuu
Wewe anaweza kuwa Mangi huyo kaanza na duka la rejareja akiwa na 18yrs...si umemsoma yuko Kimara?Aisee una bahati sana miaka 30 wewe millionia duh.....ebu tuone uligraduate ukiwa na miaka 24 kwahiyo hivyo vitu vyote kama sio vya kurithi ulivitafuta dani ya miaka sita, tu tena kumbuka kuna hi mitatu ya magufuri ambayo biashara iko low sana
Nyumba 2
Gari 4
Ghorofa kimara 1.
Ekari za aridhi 22
Mashine y
Za kusaga 2
Viwanja vingine viwili
Duh wewe utakuja umpite hata Mo ukiwa 42.....duh hongera sana
ImenimilikishaHiyo papuchi haijakumilikisha mwanaume
Sasa hv ata napofanya mambo yangu nafanya kwa uhuru moyo ukiwa mweupe.Una akili sana ,maana ukiwatelekeza hao wote watakutazama
Mkuu kusoma advance na chuo alisoma mda gani? Hata kama ni mangi arafu kasema ni ishomere.......Wewe anaweza kuwa Mangi huyo kaanza na duka la rejareja akiwa na 18yrs...si umemsoma yuko Kimara?
Basi unacho kitu maana kama ngombe ni wako ndama pia ni wako na maziwa pia hivyohivyoImenimilikisha
Ana degree....kujiongeza tu. Inawezekana by 30 kuwa na vyote hivyo.Mkuu kusoma advance na chuo alisoma mda gani? Hata kama ni mangi arafu kasema ni ishomere.......
Kweli Mkuu.Huu uzi wa kuumbuana.maana wengine hata kijiko kumiliki ni mtihani![]()
Uko vizuri Mkuu. Keep it up.Mimi mwamume umri 35,Namiliki wake wawili watoto wanne,vitanda 5 na godoro zake Sina nyumba sina gari sina kiwanja,sina kazi,sina pesa Natunzwa tu na wake zangu.Kwa sasa hivi natafuta mke wa tatu awe na miaka 30 anayejiweza.
Mkuu,hapo ndo ujue sasa kwamba "Umri ni namba tu ".
Sawa inawezekana ila sio kwetu Tznia, angekua hajasoma mpaka level ya degree tugesema sawa......kwasababu vyote alivyo teja sijaona kitega uchumi kikubwa kilicho kuza kipato chake haraka vyote havizalishi ni assets tu.Ana degree....kujiongeza tu. Inawezekana by 30 kuwa na vyote hivyo.
Tobaaa!!!.Nakumiliki wewe![]()
Hata km usingesema wewe ni Kabila gani, Mimi ningelijua tu kuwa wewe ni Nshomile .Maana mnavyopenda kujisifia duh!.Nina 30, namiliki nyumba mbili moja ipo kibaha kwa mathias, nyingne ipo morogoro nane nane, nina gari nne (ranger nyeusi, harrier, noah , na spacio), sina mke, sina mtoto, sasa hvi najenga ghorofa moja kimara, nina mashamba ekari 22, nina biashara yangu kubwa tu ambayo inasogeza siku, ni machine za kusaga za kukoboa, nina viwanja viwili. Katika elimu nina degree moja, na sasa hv ninatarajia kusoma masters kwaajili ya sifa tu, si unajua sisi wahaya. Ni hayo tu.