Wanaume someni hapa

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,728
25,473
UTAMU wa mwanamke uko kwenye mwili wako,
UZURI wa Mwanamke upo kwenye Macho yako, lakini zaidi ya yote ni MTAZAMO WAKO kwa Mwanamke huo ndo unaweza kujua UBORA wa Mwanamke.
Mwanaume ambaye hatulii na Mwanamke mmoja maana yake YEYE MWENYEWE SIO MTAMU kwa sababu kila akilala na wanawake hahisi radha ili kutuliza hisia zake, Pengine ni macho yake ndiyo yanashindwa kutofautisha uzuri, na utamu wa hitaji lake ama ni huo mtazamo hata akashindwa kujua UBORA.
Maana umelala na wanawake wengi na wote umewaumiza kwa kuwaacha kumbe kinacho kukosesha utulivu ni kipi?
Ama ni vile walivyosema wajuzi kwamba BAMIA HAITOSHEI KWENYE BAKULI🍲
Mwanamke ni jinsia ila swala la UBORA, UZURI, UTAMU hayo yanatokana na wewe kulingana na uhitaji na vile ulivyo, NYAMA YA NGAMIA🐪 UKIILA KWA MIKIKI ITAKUPALIA tafuta size yako kulingana na majaaliwa yako, Sio kila kisima kimejengewa kuna vya udongo kila kikikauka ndivyo kinavyozidi kurefuka UTAKUJA KUZAMA NGW'ANA WANHE 🙈
Usikae unaumiza watoto wa wanaume wenzio kwa kutojaaliwa UTULIVU WA NAFSI.
 
UTAMU wa mwanamke uko kwenye mwili wako,
UZURI wa Mwanamke upo kwenye Macho yako, lakini zaidi ya yote ni MTAZAMO WAKO kwa Mwanamke huo ndo unaweza kujua UBORA wa Mwanamke.
Mwanaume ambaye hatulii na Mwanamke mmoja maana yake YEYE MWENYEWE SIO MTAMU kwa sababu kila akilala na wanawake hahisi radha ili kutuliza hisia zake, Pengine ni macho yake ndiyo yanashindwa kutofautisha uzuri, na utamu wa hitaji lake ama ni huo mtazamo hata akashindwa kujua UBORA.
Maana umelala na wanawake wengi na wote umewaumiza kwa kuwaacha kumbe kinacho kukosesha utulivu ni kipi?
Ama ni vile walivyosema wajuzi kwamba BAMIA HAITOSHEI KWENYE BAKULI
Mwanamke ni jinsia ila swala la UBORA, UZURI, UTAMU hayo yanatokana na wewe kulingana na uhitaji na vile ulivyo, NYAMA YA NGAMIA UKIILA KWA MIKIKI ITAKUPALIA tafuta size yako kulingana na majaaliwa yako, Sio kila kisima kimejengewa kuna vya udongo kila kikikauka ndivyo kinavyozidi kurefuka UTAKUJA KUZAMA NGW'ANA WANHE
Usikae unaumiza watoto wa wanaume wenzio kwa kutojaaliwa UTULIVU WA NAFSI.
Npo sit ya mbele kwa dereva

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom