Recent content by mnyansa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Zuberi Kabwe ni Mchochezi. Akamatwe, Ashitakiwe kwa Uchochezi, adai Rais Magufuli ni...

    Yaani wewe Pascal ni mnafiki mkubwa , unajipendekeza tu hunalolote
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa ku upgrade android version

    Mkuu nidsaidie huawei g730 nahitaji iende lollipop
  3. M

    JamiiForums Tanzania Faida elfu 30 kwa siku

    Weka bank ndg
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    wakuu pls naomba link ya kudownload plugin za local channels zetu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Unlock modem mpya za Airtel ZTE MF190

    teacher je kunauwezekano wa kuanlock hii modem ya halotel pls nipe jibu mkuu
  6. M

    JamiiForums Tanzania UN statement concerning Tanzania general election

    Hug ujt lit yg
  7. M

    JamiiForums Tanzania Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa

    Tatizo nini kuhoji? Je wanao hoji hawana haki yakujua cdf yuko wapi? Sio watanzania walioa kodi? Cdf yuko nje kwa pesa za watanzania nasio pesa za familia yake kwa nini wtz wasihoji kiongozi wao wanae mlipa yuko wapi ? Hilo nalo hamlijui halihitaji elimu ya chuo kikuu ,toeni majibu nasio...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa apiga mil. 200 za Lowassa, Iringa Mjini mpo?

    Jipange uje na uzi mwingine huu umekwama huna lolote zuzu tu wewe umekalia kupika majungu . Hukuziona hongo namna watu walivyonunuliwa wakati wa kura za maoni ccm? Acha unafki
  9. M

    JamiiForums Tanzania MBOWE: Lowassa = Mabadiliko... Mabadiliko = Lowassa

    Duuu huyu mbowe ni balaaa hakuna tena
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Kuhusu zoezi la uhakiki taarifa za Mpiga kura

    Hilo limetokea pia mtaani kwangu ambapo watu 1080 waliandikishwa lkn ni majina 269 tu ndio yaliyoonekana kwenye daftal. Hili ni tatizo tena kubwa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Computer yangu haisomi mtandao na wala haisomi kila kitu

    Wakuu naomba msaada wenu laptop yangu inasumbua sana kwa sasa haisomi network kabisa . upande wa window system haisomi ram wala prosesa sijui tatizo ni nini japo nahisi partition moja ya window imejaa nakuweka alama nyekundu . naomba msaada wenu wakuu mimi sina ujanja wowote juu ya mambo haya
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake hawawapendi ndugu wa mwanaume?

    Sijaelewa ni kwa nini hawa shemeji zetu hupenda kufanya hivyo, mara nyingi unakuta hataki ndugu wa mume wakanyage kwa ndugu yao wakati huohuo unakuta yeye karundika wadogo zake wote mama yake mzazi wifi zake wake wa kaka zake wote wamejaa hapo , ila ikatokea ndugu wa mume umekwenda kusalimia...
Back
Top Bottom