Platnam
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 768
- 1,216
Mi najiuliza tu, Dada anadai watu wanazusha wamepewa hela wakanushe, nani alijua watahojiwa mpaka wazushe kwamba wamepewa hela ??? Mke wa Mgimwa Aliwahi kukanusha kwenye situation kama hii lakini ukweli ulifahamikaMleta uzi alikuwa na haraka kama kakimbizwa. Ni kwamba wamekanusha uzushi na uzandiki wa watu ktk mitandao juu ya mkuu huyo. Wanasema hizi ni tabia za wanasiasa kutaka kuchanganya watu hasa wakati huu wa kuelekea uchaguzi. Wamesema ndg yao huyo yupo salama kikazi nje ya nchi, na soon atarejea. Kifupi wanadai walozusha mambo haya wameidhalilisha familia yao