Kwanini wanawake hawawapendi ndugu wa mwanaume?

Kwanini wanawake hawawapendi ndugu wa mwanaume?

Hata wanaume wapo wasopenda ndugu. ukiona mwenzio hapend ndg ujue una mapunguf coz unayo haki ya kumlazimisha awapende atake asitake. la cvyo mwambie atafute asie na ndg.
 
Sidhani kama ni shida hata wewe una kaka yako hivyo na wewe ni ndugu wa mume pia hivyo na wewe ni shida kwa mke wa kaka yako kama ndio hivyo, tatizo ni la kisaikolojia zaidi yaani watu wanaingia kwenye ndoa wanawaza mabaya dhidi ya ndugu wa mume badala ya kuwaza vitu vizuri vya kufanya pindi wanapoingia kwenye ndoa, kwa kuwa ana mtazamo hasi na ndugu wa mume inakuwa rahisi kukwazika hata kama itatokea wametofautiana kidogo. (hii ni sawa na mtu let say public figure au ndugu yoyote unaempenda hata kama akikosea huoni kwa kuwa unawaza mazuri dhidi yake)

Solution hapa unapokuwa na watoto au wadogo zako au ndugu wa karibu ni kuhakikisha kuutumia ujana vizuri ili mwisho wa siku kila mmoja awe na maisha yake na kama unapita kwa ndugu yako ni siku moja ama mbili unaendelea na mambo yako mpaka wakukumbuke ama imetokea umepita mkoa wanaokaa (maisha ya waafrika hata kama una hela vipi kuna ka eement ka extended family ambazo hazikwepeki sana maana ndio mbadala wa social security just in case kuna matatizo na furaha)
Sijaelewa ni kwa nini hawa shemeji zetu hupenda kufanya hivyo, mara nyingi unakuta hataki ndugu wa mume wakanyage kwa ndugu yao wakati huohuo unakuta yeye karundika wadogo zake wote mama yake mzazi wifi zake wake wa kaka zake wote wamejaa hapo ,

ila ikatokea ndugu wa mume umekwenda kusalimia tu kwa ghafla anawaficha ndugu zake chumbani usiwaone , imefika mpaka mahali mama yake mzazi ambaye ni mama mkwe wetu aliamua kumkimbia mumewe ambaya ni baba mkwetu wetu huyo mama kaishi hapo kwa miaka 5 bila kurudi kwake mpaka kafia kwa mkwilima na kuzikwa kwa mkwilima ili hali ana kwake na mumewe yupo aibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Tatizo ndugu wa wanaume wanamidomo na wanaona wivu vile mumeo anavyokufanyia
 
Alichokua anakitafuta ni ndoa, na anakua ameshaipata hana haja ya kuendelea Ku fake! Asili ya mtu huwa haipotei ndo maana unatakiwa mwanaume umchunguze mwanamke mpaka familia yao wanavyoishi je ndugu wa baba yake wanatia mguu na mama yake anawapokeaje? Au anaishije na jamii, je ni supportive au?Kila roho mbaya au nzuri hujengwa na sio kuwa huibuka unknownly, take time hata kwa wadada mchunguze mwenzio b4 proposing to marry her/him,
 
I meandikwa kwenye bibilia mwanaume anatakiwa akae na mke wake kwa kutumia akilinyingi sana .

pia inawezekana wengine tunawalaumu bilasababu
mwanaume kabla ya kuoa anakua hana majukumu mengi maranyingi na anaweza kua na uwezo wakuwasaidia nduguzake wengi , lakini akisha oa majukumu yanaongezeka anaanza kuwaza familia yake na maendeleo ya familai na ukumbuke hapo anakua na familia kama tatu yake ya wakwe na yawazazi wake .
sasa kile kipato ambacho alikua anapata hakitatosho kuhudumia nduguzake kama ilivyo kua zamani na ndo ndugu wanaanza kuona kua yule mwanamke ndie anaye mzuia . kumbe nimajukumu yanaongezeka
 
Kabla ya kuoa unakuta mwanamke anajipendekeza ukweni mara ampeleke mama mkwe vizawadi ili mradi aolewe akishaolewa vitimbi vinaanza hataki kuona mwanaume anasaidia kwao.

Lakini ukisaidia kwao hakuna shida hivi kweli inafikia sehemu mwanamke anamzuia mume wake kumsomesha mdogo wa ndugu zake wakiwatembelea wanaishi vizuri wakija ndugu wa mwanaume wanaishi kwa gubu.

Wanawake wenye tabia kama hii badilikeni hakuna aijuae kesho unaweza siku moja kwenda kuomba msaada kwa hao uliokuwa unawafanyia gubu.
 
75%ya wanawake wana chembe chembe za roho mbaya.. Sasa ni bahati tu upate hawa 25% ambao ni wakarimu na wenye upendo wa dhati, shida nyingine wanawake wana asili ya kupenda kushindana hivi wenyewe kwa wenywe ilo LA kuchunguza ukiona mwanamke anashindana shindana ht na shoga zake kwa upuuzi mara urembo mara maisha hujue huyo lzm aje kushindana na dada zako na km dada zako nao ndo wale wale wa kushindana bas hapo kuna ligi kubwa kaa mbali na mke wako ht mkoa mwingne kbs ... Kingine wanapenda kuona wanamamlaka juu ya mwanaume awe kaka yao awe mume yan flan mm ndo wa kwanza kwake mimi ndo dada ake tumbo moja mimi ndo mkeo na lala nae kitanda kimoja yaani ujinga ujinga tu... Bila kusahau kucontrol hapo ndo hadi kwa mganga utaendewa, most of them are very insecure... Ila kuna wanawake wapo cool wana roho fln hv tulivu waelewa yan ukimuelezea kitu ana kuelewa mapema sio washindani yan unakua na mkeo mpk unaona yan huyu nime bahatisha kumpata so sexy mtoto wa watu hana makuu mzuri wa kawaida aloooo kuna jirani angu hapa kapata mke kweli yaani jamaa unamuona kbs ananawili..
 
vingine vilishajengewaga fikra kabsaa na vikabeba ukweli ila sio kweli kabisa
 
Back
Top Bottom