kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,526
- 8,029
Tangu niliponunua, miezi mitatu iliyopita
ushawahi kuchange firmware ?
Tangu niliponunua, miezi mitatu iliyopita
Nipe link ya hiyo lollipop,??nilicheki ya lolpop nimeiona ,kwa android 6 sijaangalia mkuu
Upgrade/Update Huawei Y360 To 5.0 Lollipop | Lollipop UpdateNipe link ya hiyo lollipop,??
Hapana bado sijawahiushawahi kuchange firmware ?
Ringer itakuwa imekwenda na maji, nenda kwa fundi simu yoyote aliyekaribu akubadilishie hiyo ringer, ni kama sh 5,000 mpaka 7,000 kwa DarHeshima kwenu wakuu. Nina tatizo kwenye simu yangu ninaomba msaada wenu. Ninatumia simu ya Sony Xperia L (C2105). Ni miezi minne sasa device hii inashindwa kutoa sauti kama ilivyokuwa mwanzoni. KWANZA; Nikipiga/nikipigiwa simu huwa inanilazimu kuweka loudspeaker ndio niweze kupata perfect conversation. PILI; Audios na Videos hazitoi sauti mpaka pale ninakapokuwa nimepiga simu na kufanya maongezi through a loudspeaker and eventually simu ikikata na Audio/Video nayo hupoteza sauti. TATU; headset nayo haifanyi kazi, everything runs through a loudspeaker tena wakati nikiwa on Call pekee. Kitu pekee ambacho kimebaki kinafanya kazi kwenye upande wa sauti ni RINGTONE tu. Tatizo lilianza siku ambayo nilikuwa najaribu kuconnect simu kwenye subwoofer ili nisikilize muziki kwa ujazo mkubwa (nimekuwa nikifanya hivyo mara kadhaa kabla ya tatizo kutokea). Still ninashindwa kuelewa kama tatizo lilikuwa Subwoofer au kuna tatizo lingine zaidi kwenye system ya Audio. Mwanzoni nilidhani Subwoofer imepiga shoti simu yangu lakini nakosa logic connection kabisa. Naomba msaada wenu wataalamu. Ninatanguliza shukrani zangu za dhati.
Nashukuru sana mkuu, nitalifanyia kazi. Be blessedRinger itakuwa imekwenda na maji, nenda kwa fundi simu yoyote aliyekaribu akubadilishie hiyo ringer, ni kama sh 5,000 mpaka 7,000 kwa Dar
Hapana bado sijawahi
taja modelWakuu mi natumia Samsung S2 LTE ice cream sandwich. Nataka kuupgrade kuwa Jelly bean. Nifanyeje?
Samsung S2 LTE model GT i9210taja model
Download firmware: I9210XXUAMF1_I9210COVUAMF1_COV.zipSamsung S2 LTE model GT i9210
Nimeshaidowload. What next?Download firmware: I9210XXUAMF1_I9210COVUAMF1_COV.zip
download firmware hapa kwanza
Nasikia huwezi ku reverse Installation labda uiroot hiyo simu.Nili updates simu yangu toka KitKat 4.4.4 kwenda lollipop nilitamani kuipasua simu imekuwa nzito pia imepoteza apps zingine nzuri,, mwenye link au utalamu juu ya kutoa lollipop to marshmallow au lollipop to KitKat, lenove S 90-A
Nimeshaidowload. What next?
Mkuu nidsaidie huawei g730 nahitaji iende lollipop
Wadau nimepata ujumbe toka Sony juu ya ku-Update OS ya simu yangu z3 kwenda Mashmallow..... Naombeni wenye uzoefu na hili.
Vipi nikiupgrade haiwezi niletea shida, maana nimeizoea hii lollipop na haija nisumbua kabisa kwenye issue ya kutunza chaji na matumizi mengine ya kawaida.
Nimesoma mahali hapa ndani, wengi wakilalamika kuwa baada ya ku-upgrade simu zao zimekuwa zikiwaletea usumbufu vipi haliwezi nitokea pia?
Na incase nikitaka Upgrade ni njia ipi inafaa kati ya kutumia WiFi au mobile network?
Natanguliza shukrani za dhati.....![]()
![]()
Pinoy Tech tutorials and News: Downgrade to Kitkat from Lollipop - Lenovo S90-aNili updates simu yangu toka KitKat 4.4.4 kwenda lollipop nilitamani kuipasua simu imekuwa nzito pia imepoteza apps zingine nzuri,, mwenye link au utalamu juu ya kutoa lollipop to marshmallow au lollipop to KitKat, lenove S 90-A