Peter Msigwa apiga mil. 200 za Lowassa, Iringa Mjini mpo?

Poleni...mwaka huu naona cordination ya kichwa na mdomo imekatika maana mdomo haujui unaongea nini. Poleni CCM
 
Jipange uje na uzi mwingine huu umekwama huna lolote zuzu tu wewe umekalia kupika majungu . Hukuziona hongo namna watu walivyonunuliwa wakati wa kura za maoni ccm? Acha unafki
 
Mgombea wa kiti cha ubunge wa jimbo la Iringa Mkoani Iringa kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo, Peter Msigwa anatarajia kutumia milioni 200 kuuandaa mkutano wa mgombea wa urais wa Chadema/Ukawa Edward Lowasa, unaotarajia kufanyika mwishoni mwa juma hili.

Fedha hizo zitakazotumika kuandaa maandamano ya vyombo vya moto muziki na posho kulingana na chanzo cha kuaminika ndani ya chama hicho kinasema kwamba kiongozi huyo amezipokea kutoka kwa Edward Lowasa ambaye amekuwa rafiki yake mkubwa licha ya hivi karibuni Msigwa kumsema vibaya kwa kuwaambia wananchi kwamba kila atakayemuunga mkono Lowassa akapimwe akili.

Hatua hiyo inakuja ikiwa ni wiki ya pili sasa tangu mbunge huyo alipopokea shilingi milioni 50 kama hongo kutoka kwa Lowassa kwa ajili ya utengezezaji wa mabango makubwa ambayo yamewekwa kwenye mitaa mbalimbali mjini Iringa.

Msigwa ambaye ameamua kukodi ukumbi wa Baa ya Sambala na kuufanya ofisi ya chama kutokana na ubovu wa ofisi ya Chadema Iringa uliopo Mtaa wa Mshindo ambayo ukiitaza haina tofauti na banda la kuku.

Mkutano huo unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa juma hili siku ya jumapili utatanguliwa na maandamano yakiongozwa na pikipiki, boda boda na watembea kwa miguu ambao wote wanatakiwa kulipwa sh 50000 kwa ushiriki wao.

Ambapo chanzo hicho kimesemwa kuwa kila bodaboda itagharamiwa mafuta pamoja na fedha kiasi cha shilingi Elfu tano huku wengine wakilipwa elfu Kumi.

Kuliona hili nimefika katika kituo cha bodaboda eneo la stendi kujua ni kiasi gani hulipwa kwa safari moja ya mgombea ambao wamesema "sisi! kwa mimi huwa nalipwa shilingi elfu tano huwa tunalipwa shilingi elfu tano na kujaziwa mafuta fresh tu, ila tukiwambia atuongezee kiasi cha fedha anazinguaga yule" amesema mmoja ya madereva wa bodaboda eneo la kituo kikuu cha mabasi Mjini hapa ambaye hakutaka jina lake kutajwa.

Sikuishia hapo nikakutana na madereva wa pikipiki za miguu mitatu wanaopaki eneo karibu na mwembetogwa kujua kiasi cha fedha ambacho hulipwa kwa maandamano ya mbunge huyo wamesema" hapa tunachukuaga ten ten tu, akijaza mafuta tunatembea" amesema mmoja wa Madereva hayo" ( jina lake hakutaka liwe wazi.

Wakizungumza juu ya ushabiki wao kwa chama hicho madereva hao wamesema kwamba " wenyewe huwa wanasema CCM itashinda kwa kishindo mwaka huu lakini Ukawa sisi huwa tunatafuta mkwanja tuu hakuna uchadema hapa."

Hata hivyo imebainika kuwa mil 200 hizo alizokabidhiwa Msigwa ni kutokana na kumtetea Lowassa wakati wa mada iliyorushwa Channel Ten ambapo Polepole alizungumza kuhusu ulweli wa Lowassa na Msigwa akamtetea.

Bodaboda mjini Iringa watalipwa sh 50000, bajaji 50000 huku madereva Tax wakilipwa sh 100000 ili kuonyesha kwamba anakubalika.

Mkutano huo wa Ukawa unataraji kutumia takribani mil 500 ili kufanikisha Iringa mjini.

"Sisi Bodaboda kipindi hiki asipotupa chetu mapema ataisoma namba Jimbo hili hajaliwekea hati miliki tutamtupa kapuni" Alisema mmoja wa waendesha bodaboda

Tata Madiba @ huna jipya hatugawi hela magamba ndo zenu
 
Mgombea wa kiti cha ubunge wa jimbo la Iringa Mkoani Iringa kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo, Peter Msigwa anatarajia kutumia milioni 200 kuuandaa mkutano wa mgombea wa urais wa Chadema/Ukawa Edward Lowasa, unaotarajia kufanyika mwishoni mwa juma hili.

Hatua hiyo inakuja ikiwa ni wiki ya pili sasa tangu mbunge huyo alipopokea shilingi milioni 50 kama hongo kutoka kwa Lowassa kwa ajili ya utengezezaji wa mabango makubwa ambayo yamewekwa kwenye mitaa mbalimbali mjini Iringa.
..................................

Bodaboda mjini Iringa watalipwa sh 50000, bajaji 50000 huku madereva Tax wakilipwa sh 100000 ili kuonyesha kwamba anakubalika.

Mkutano huo wa Ukawa unataraji kutumia takribani mil 500 ili kufanikisha Iringa mjini.

Hii ni insha. Ukitaka insha inoge, andika pembeni kidogo, rekebisha na ikishakuwa na mpangilio ndo uiweke JF.

Wewe unaandika hovyo na mambo yanayopingana. Kitu unaita hongo na hapo tena unaandika matumizi yake ni kutengeneza mabango. Hiyo ni rushwa? Baadaye unazigawa pesa mitaani ili wasipopata wamchukie Msigwa. Jumla yake inazidi zile 200 ulizotaja mwanzoni.

Unatupotezea muda kwa mizaha. Simbilisi we!
 
mbna ule wa jangwan hamsemi uligharim kias gan mkatoa na chakula,usafir na hela ya posho?mnaharib miaka mitano lwa ef 10?
 
Hapo hajfika bado mnaweweseka kwani meanza kuona mafuriko yanavyozoa tinganga siyo
 
chema chajiuza

18.jpg

13.jpg

8.jpg
 
Jamani mambo yasiyopendeza kwa nini tusiyaropoti kwenye vyombo husika kama PCCB, FIU; Polisi nk.
Hii tabia ya kuchukulia mambo poa na kuishia kulalamika haitatufikisha popote pale.
Tutabakia kuwa watu wa tetesi, fununu, minuso na vitu vingine vyenye asili ya namna hiyo ambavyo vyote havisaidii kuleta maendeleo ya mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla wake.
 
Picha picha
Maana uongo mumezidi tumewachoka jamani. Mumeiba kila kitu bado mnataka kutuaminisha kuwa ni wema nyinyi.
Sisi Wapumbavu tuliowachagua kwa miaka 53 inatisha tuacheni na ulofa wetu.
Sisi hatuangali kapokea shilling ngapi au katoa shilling ngapi bali tunataka kuandika history tu ya kukiondoa CCM

ningeipata hiyo hela ningeitumia kuwashawish wengine wampe kura Mr. Lowassa
 
Mgombea wa kiti cha ubunge wa jimbo la Iringa Mkoani Iringa kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo, Peter Msigwa anatarajia kutumia milioni 200 kuuandaa mkutano wa mgombea wa urais wa Chadema/Ukawa Edward Lowasa, unaotarajia kufanyika mwishoni mwa juma hili.

Fedha hizo zitakazotumika kuandaa maandamano ya vyombo vya moto muziki na posho kulingana na chanzo cha kuaminika ndani ya chama hicho kinasema kwamba kiongozi huyo amezipokea kutoka kwa Edward Lowasa ambaye amekuwa rafiki yake mkubwa licha ya hivi karibuni Msigwa kumsema vibaya kwa kuwaambia wananchi kwamba kila atakayemuunga mkono Lowassa akapimwe akili.

Hatua hiyo inakuja ikiwa ni wiki ya pili sasa tangu mbunge huyo alipopokea shilingi milioni 50 kama hongo kutoka kwa Lowassa kwa ajili ya utengezezaji wa mabango makubwa ambayo yamewekwa kwenye mitaa mbalimbali mjini Iringa.

Msigwa ambaye ameamua kukodi ukumbi wa Baa ya Sambala na kuufanya ofisi ya chama kutokana na ubovu wa ofisi ya Chadema Iringa uliopo Mtaa wa Mshindo ambayo ukiitaza haina tofauti na banda la kuku.

Mkutano huo unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa juma hili siku ya jumapili utatanguliwa na maandamano yakiongozwa na pikipiki, boda boda na watembea kwa miguu ambao wote wanatakiwa kulipwa sh 50000 kwa ushiriki wao.

Ambapo chanzo hicho kimesemwa kuwa kila bodaboda itagharamiwa mafuta pamoja na fedha kiasi cha shilingi Elfu tano huku wengine wakilipwa elfu Kumi.

Kuliona hili nimefika katika kituo cha bodaboda eneo la stendi kujua ni kiasi gani hulipwa kwa safari moja ya mgombea ambao wamesema "sisi! kwa mimi huwa nalipwa shilingi elfu tano huwa tunalipwa shilingi elfu tano na kujaziwa mafuta fresh tu, ila tukiwambia atuongezee kiasi cha fedha anazinguaga yule" amesema mmoja ya madereva wa bodaboda eneo la kituo kikuu cha mabasi Mjini hapa ambaye hakutaka jina lake kutajwa.

Sikuishia hapo nikakutana na madereva wa pikipiki za miguu mitatu wanaopaki eneo karibu na mwembetogwa kujua kiasi cha fedha ambacho hulipwa kwa maandamano ya mbunge huyo wamesema" hapa tunachukuaga ten ten tu, akijaza mafuta tunatembea" amesema mmoja wa Madereva hayo" ( jina lake hakutaka liwe wazi.

Wakizungumza juu ya ushabiki wao kwa chama hicho madereva hao wamesema kwamba " wenyewe huwa wanasema CCM itashinda kwa kishindo mwaka huu lakini Ukawa sisi huwa tunatafuta mkwanja tuu hakuna uchadema hapa."

Hata hivyo imebainika kuwa mil 200 hizo alizokabidhiwa Msigwa ni kutokana na kumtetea Lowassa wakati wa mada iliyorushwa Channel Ten ambapo Polepole alizungumza kuhusu ulweli wa Lowassa na Msigwa akamtetea.

Bodaboda mjini Iringa watalipwa sh 50000, bajaji 50000 huku madereva Tax wakilipwa sh 100000 ili kuonyesha kwamba anakubalika.

Mkutano huo wa Ukawa unataraji kutumia takribani mil 500 ili kufanikisha Iringa mjini.

"Sisi Bodaboda kipindi hiki asipotupa chetu mapema ataisoma namba Jimbo hili hajaliwekea hati miliki tutamtupa kapuni" Alisema mmoja wa waendesha bodaboda

Hii video hapa chini unaweza kueleza chochote? na hapo ni lumumba kwenye ofisi za chama unachokiabudu

Last edited by a moderator:

Duh rafiki hizo pesa ni digit 5 na 6 au elf hamsini na laki moja sisi wapumbavu na malofa tuzitoe wapi
 
Oya wadau mimi nipo iringa town na ni team lowasa,huku pipo znamkubar lowasa kuliko hata hyo pombe ya ccm,huyu mtoa uzi ni mjinga tu,pia mbunge wet hawez fanya ujinga kama huo.
 
Msigwa ni Mgombea ubunge wa Iringa kupitia Chadema; na kawa mbunge muda mrefu tu.

Sasa wewe ulitaka aandae mapokezi ya mgombea wa chama gani?
CCM au?
 
Tuwekeeni vitu vyenye nyama (maana) msitupotezee muda!
 
Back
Top Bottom