Recent content by Mnyampaa msingida

  1. Mnyampaa msingida

    Bill Gates anywa maji ya Kinyesi

    JF imekuwa jukwaa la udaku na umbea Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Mnyampaa msingida

    Kitu gani hukipendi kinachofanywa na serikali ya awamu ya tano?

    Upinzani wenyewe umekaa kuisaliti nchi. Kiongozi mzalendo huwezi kuomba nchi ifungiwe misaada. Endeleeni kujipambanua rangi zenu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mnyampaa msingida

    Kitu gani hukipendi kinachofanywa na serikali ya awamu ya tano?

    Dah inasikitisha. Mmekosa hoja sasa mmeigeuza JF kuwa kijiwe cha umbea. Mtanyooka tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mnyampaa msingida

    Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

    Mwanamke ameumbwa kutokuridhika. Mwenyezi Mungu amempa nyusi yeye anazinyoa zote halafu anapaka rangi nyeusi. Mwenyezi Mungu amempa nywele yeye hazitaki anavaa mawigi. Haitaki rangi yake anaenda kujichubua. Kama wewe mwenyewe hujaridhika na alichokupa Mungu, hata cha mumeo huwezi kuridhika!
  5. Mnyampaa msingida

    Ally Mayai Tembele alipata division 0 form 6 au form 4

    Form 4 ulipata div ngapi?
  6. Mnyampaa msingida

    Ally Mayai Tembele alipata division 0 form 6 au form 4

    Wewe unampigia kampeni muhaya mwenzako
  7. Mnyampaa msingida

    A lady with wife material is need now

    Tumia kiswahili acha ulimbukeni wa lugha. Sema hivi "IS NEEDED" na sio "IS NEED".
  8. Mnyampaa msingida

    Sakata la Makinikia: Inaandaliwa ripoti ya kumjibu Lissu?

    Msiwe ndumila kuwili. Mwacheni rais Magufuli afanye kazi na sio kukosoa kila jambo.
  9. Mnyampaa msingida

    Mikasa ya ndege kubwa kubwa

    Bado wako hai. Kuna siku watarudi na wataishangaza dunia
  10. Mnyampaa msingida

    Salamu za Trump kwa maraisi wasioheshimu mikataba

    Enzi za ukoloni kulikuwepo na wanafiki na wasaliti waliokuwa wakiwapigia magoti wakoloni na kusaidia kuwanyanyasa watu weusi. Watu hao waliitwa vibaraka wa wakoloni. Ni lazima niseme wewe ni mmoja wa wanafiki na vibaraka wa watu weupe. Nakushauri uhame hii nchi uende kwa mabwana zako...
  11. Mnyampaa msingida

    Je, Mungu ana sura gani?

    Umekaririshwa! Hivi elimu yako ni bachelor failure? Form six F au masters ya kukariri?
  12. Mnyampaa msingida

    Uhakiki wa vyeti wanikosesha kazi na wasababisha mke wangu kuniacha

    Huyo ni mwanamke fake. Kumbe alikupenda kwa sababu ya pesa. Halafu hupaswi kutangaza hapa.
  13. Mnyampaa msingida

    Je, Mungu ana sura gani?

    Kwani hapo kuna lugha moja?
Back
Top Bottom