Je, Mungu ana sura gani?

Je, Mungu ana sura gani?

Surah 109



Bismillaah ar-Rahman ar-Raheem
Qul yaa ayyuhal kaafiruun
Laa ‘abudu maa t’abuduun
Walaa antum ‘aabidunna maa a’abud
Walaa ana ‘aabidun maa ‘abadttum
Walaa antum ‘aabiduuna maa a’abud
Lakum deenukum wa liya deen

In the name of Allah, the Beneficent, the Merciful.
Say: Oh you who turn away
I do not worship what you worship,
nor do you worship what I worship.
And I will not worship what you worship,
Nor will you worship what I worship.
Your way is yours, and my way is mine
Kama ni hivyo kuna Kazi
Mungu awe na lugha moja
 
Mkuu, Mungu ni roho... Kuna andiko linasema "Mungu ni Roho, na wamwabuduo imewapasa kumwabudu katika Roho na kweli...."

Kiufupi, Mungu ni roho, vipi ushawahi kuona roho inafananaje!??
 
Jibu ni jepesi sana. "Na tumfanye mtu..." Sio watu.

Swali kwako mleta uzi. Wewe ni mtu, au watu?
 
Mungu amemuumba mwanadamu kwa sura na mfano wake.
Dunia hii ina watu wa rangi mbali mbali. Kuna wazungu, waafrika, waarabu, waasia, n.k.
Swali linakuja, je, Mungu amechukua sura ya watu wa wapi hapa duniani? Ni mweusi au mweupe? Mwarabu au muasia?
Nani anaweza kujibu hili??? hakuan anaejua
 
Hapa unaweza kujichosha kwa kujaribu kujua sura ya Mungu ambaye hajawahi kuonekana.

Kama angekuwepo kweli, angejitokeza kujibu mwaswali ya viumbe wake.
 
Jibu ni evolution
Binadamu wotee tumetokea kwa common ancestry lakini tukawa tuna badilika kutoka na mazingira na natural selecton
mbona DNA zetu hazifanani kama tuna common ancestry sijaribu kusema kuwa tumeumbwa ila jibu lako ni cheap mno.
 
Mungu hafanani na chochote.

Allahu Akbar.God is great.
wote hatuna uhakika Mungu alivyo hata wewe unaweza kuwa sahihi sio sahihi endapo atakuwa anafanan na kitu kingine
 
c93775be02dae400bdf4aa70c2f26ec8.jpg
 
Mungu amemuumba mwanadamu kwa sura na mfano wake.
Dunia hii ina watu wa rangi mbali mbali. Kuna wazungu, waafrika, waarabu, waasia, n.k.
Swali linakuja, je, Mungu amechukua sura ya watu wa wapi hapa duniani? Ni mweusi au mweupe? Mwarabu au muasia?
ACHA KUCHEZA na Mungu MKUU ,cheza michezo yoteee ! HILI acha kabisa
 
Back
Top Bottom