Kitang'wa1
JF-Expert Member
- Dec 4, 2014
- 460
- 285
Na mara zote misaada italetwa kwa kupitia maji hayo, yaani Tukiwa na vita kwa mfano, tutaletewa chakula na maji ya aina hiyo, tena tutakenua kweli Meno kwa msaada huo. Tukihamasishwa wananchi ya kuwa yamethibitishwa na TBS, bila kujua ya kuwa hata hao TBS wanaweza kuwa Bribery na kupindisha ukweli, ikiwemo ofisi ya mkemia mkuu. TUPENDE VYA KWETU JAMANI