Recent content by Mnyalu Junior

  1. Mnyalu Junior

    Antena ya Azam TV

    Tena mimi nimenunua November hii hapo Kigamboni kwenye store yao. Hapo kutoweka indication yoyote wamechemka; ingefaa QUALITY na INTENSITY ziwe zinaonekana ili mtu anapofunga Antena yake ajue strength ya signal. Hii itamrahisishia kujua km Antena ipo kwenye uelekeo sahihi ama la
  2. Mnyalu Junior

    Antena ya Azam TV

    Baada ya kufunga Antena ya Azam nilipambana kuona INTENSITY na QUALITY lakini naona tu kote inasoma ZERO ingawa chanels zinaonesha. Japo kuna mda kunatokea scratches za hapa na pale kitu ambacho ndicho kinachonilazimu kutaka kujua nguvu ya hizo signal na bahati mbaya ndo hivo HAZIONEKANI...
  3. Mnyalu Junior

    Usidanganywe ewe Muislamu

    Liked your Article. Upo vizuri Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mnyalu Junior

    Napataje matokeo ya kidato cha pili ya miaka ya nyuma?

    Habari wana JF, Nahitaji kupata matokeo ya kidato cha pili kuanzia mwaka 2000 hadi sasa lakini bahati mbaya NECTA hayaonekani, yapo tu ya miaka ya hivi karibuni. Nahitaji kwa ajili ya kutengeneza database ya shule yangu. Je, ni njia gani nitayapata? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mnyalu Junior

    Napataje data zangu kwenye 'Hard Disk' isiyosoma?

    Habari wana JF. Nilikuwa na SATA Hard Disk yangu aina ya SEAGATE yenye ukubwa wa 250GB. Hard Disk hii mwanzo nilikuwa naitumia ndan (As Internal Hard Disk). Baadaye nikanunua Hard Disk case nikawa naitumia as External Hard Disk. Ilitokea tatizo fulani ikawa imeungua ile terminal ya kijani...
  6. Mnyalu Junior

    Mliochagua kuwekeza/kujenga magorofa marefu Iringa kuliko Mbeya mnisaidie kipi liliwavutia?

    Kwasababu Iringa kuna vivutio vingi km vile: Ruaha National Park Makumbusho ya Chief Mkwawa Kalenga na Isimila Utajili wa mali asili Misitu ya asili na kupandwa (Sao Hill, Twico etc Mto Ruaha Kitovu cha biashara na mawasiliano Urahisi wa usafiri na usafirishaj kwenda Mbeya, Dodoma, Morogoro...
  7. Mnyalu Junior

    Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Haswaa hiki ndo kitu cha msingi coz eneo hilo lipo full equiped
  8. Mnyalu Junior

    MADA: Tatizo la Watoto kuchelewa kuongea. Ni kipi chanzo chake? Je, nawezaje kutatua tatizo hili?

    Giving her more time to spend and play with her peer groups can reduce or alleviate the problem! Just try this
  9. Mnyalu Junior

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mi ni mtanzania ila kwa upande wa miundombinu ya usafiri nakubali kuwa Nairobi wametupiga gap kubwa. Tujipange
  10. Mnyalu Junior

    icloud unlock for iphones

    Mtoa mada una busara cjapata ona. Napenda unavojibu hizo negativity za watu juu yako. Angekuwa mwingine hapo naye povu lingeanza kumtoka na kurudisha mijitusi ya maana Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Mnyalu Junior

    Flat Screen: Muongozo kabla hujaenda kununua TV

    Ni mfuko wako tu. It depend with size and resolution of the screen
  12. Mnyalu Junior

    Makonda: Marufuku kudai nyongeza ya mshahara! Nashangaa watu wanapita na mabango, mie ningewachapa

    Hajui ugumu wa kupass form four Hajui mtiti wa Adavanced Level Hajui mziki wa kutafuta courseworks Hajui mziki wa UE Hajui hata SUPP ni nin Hajui hta CARRY OVER ni nin
  13. Mnyalu Junior

    Ushauri kwa huyu ex-wangu

    Huyo hakufai coz alionesha kutokuwa na subira toka mwanzo, hatakuwa na subira hata ukija kuyumba tena kimaisha. Tafuta mwingine OVER!
  14. Mnyalu Junior

    President Zuma Advises Museveni to Rename Lake Victoria

    Kwani ziwa lipo tu Uganda? Au Uganda ndo mmiliki wa ziwa? Inamaana nchi za Tanzania na Kenya hazina mamlaka? Yeye mwenyewe jina "JACOB" ni la kizungu basi nalo alibadilishe
Back
Top Bottom