Usidanganywe ewe Muislamu

Usidanganywe ewe Muislamu

Status
Not open for further replies.
Acha uongo wewe hiyo yako umeitia wapi? Weka link. Aya ya 30:44 ni hii hapa, na chini nakuwekea link yake.

مَن كَفَرَ فَعَلَيْهِ كُفْرُهُ ۖ وَمَنْ عَمِلَ صَالِحًا فَلِأَنفُسِهِمْ يَمْهَدُونَ - 30:44
Those who reject Faith will suffer from that rejection: and those who work righteousness will spread their couch (of repose) for themselves (in heaven)

Sorry ni 30 :45
IMG_20200208_170049_331.jpeg
 
Suleman jaffo,,,ummi mwalimu,,,,mama samia na kasimu majaliwa wote hao n wakri,,,,,,,
Kwenda mpumbavu wewe,ajira munapeana kwa ukristo,teuzi za nyadhifa za juu munapeana kwa ukristo halafu unachora watu,munatengenza kundi lisilo na chakupoteza,mutavuna chuki,dhulma na ukandamizaji wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulimwengu mzima unapambana kuusimika ufalme wa Shetani (satanic empire). Ulimwengu au dunia ambayo uzinzi, ulawiti, unyanyasaji kingono, starehe zisizo na mipaka, ushoga, kamari, dhulma na uchafu wa kila sampuli n.k n.k vitaeneo kote ulimwenguni pasi na upinzan wowote ule kutoka popote pale. Dunia ambayo mambo ambayo yanachukiza katk jamii yatakuwa halali.

Dini pekee yenye nguvu ya kukemea na yote haya ni Uislam, Kwahiyo target ya kuusimika ufalme wa shetani ni kudidimiza mataifa yote yenye waislam wengi na kuchochea Vita ndani yao.

Kwa upande wa ukristo mambo hayo kw sasa ni swala la muda tu mana kanisa na ukristo umeshakubali yote hayo. Mashoga saiv wanafungishw ndoa kanisani, ulawiti na unyanyasaji kingono umeshamir na yote nilioeleza Hapo juu.

Kupitia kivuli cha UN, mauaji yote yanayoendelea huko yanatekelezw kwa mpango maalum.

Kila Rais wa marekan lazima amuue Kiongoz yoyote mwenye ushawishi mkubwa.

Bushi alimuua Saddam
Obama alimuua Gaddafi
Tusubir Trump naye atammaliza nani

Unaassume kama duniani kuna dini mbili tu..vipi mayahudi wanaruhusu ushoga?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Wewe naona ni mgeni wa siasa za mashariki ya kati kwa hiyo hujui unacho kiandika.
 
Wewe naona ni mgeni wa siasa za mashariki ya kati kwa hiyo hujui unacho kiandika.
Wewe uliye mmwenyeji tuwekee hapa ukweli ,maana ujuaji mwingi ila maneno matupu

Inaonesha hujui hata kuwa Saudi Arabia ni kibaraka mzuri wa U.S.A
 
Kama halikuhusu kaa kimya sasa...ila mimi myahudi uislam na ukriato haunishawishi
Kama wewe ni myahudi huna nguvu ya kupinga mamlaka ya shetani ( satanic empire). Katika kuusimika utawala wa shetani myahudi sio target kabisa. Empire ya shetani mpinzan wake mkubwa dunian ilikuwa ni Uislam na Ukristo. Ukristo umeshakubali yote. Kanisa lina kashfa zote za ushetani na sasa mpinzan aliyebaki ni Uislam peke yake na Wala Si uyahudi.

Huwez kuwa huelewi....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wajinga sana wakristo,eamejaa upendeleo,ubaguzi na kila hila dhidi ya waislam,na hakika watavuna matunda ya unyanyasaji wao,wengi wa waislam kwa kuwabagua kwao wamebaki bila kitu cha kupoteza na kwahiyo wakae wakijua hii itakuwa hatari kwao TUMBUSI HAWA.
Unajishtukia tu... Mjinga yaweza kuwa ni wewe.
 
Unaassume kama duniani kuna dini mbili tu..vipi mayahudi wanaruhusu ushoga?
Mimi sifanyi assumption hapa, ninachoweza sema ni kwamba:

Kama wewe ni myahudi huna nguvu ya kupinga mamlaka ya shetani ( satanic empire). Katika kuusimika utawala wa shetani myahudi sio target kabisa. Empire ya shetani mpinzan wake mkubwa dunian ilikuwa ni Uislam na Ukristo. Ukristo umeshakubali yote. Kanisa lina kashfa zote za ushetani na sasa mpinzan aliyebaki ni Uislam peke yake na Wala Si uyahudi.

Uyahudi hauna nguvu yoyote na haujaenea popote pale ulimwenguni.

Myahudi mfadhili wake mkubwa ni Yule anaepigania utawala wa shetani. Na ndo huyo huyo aliewakusanya wayahudi na kuwapa nguvu mwaka 1948 kwa kuusimika utawala kandamiz wa Esrael.

Kama hujui myahudi na satanic empire ni "Ni ng'ombe na mmasai "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepiga porojo ndefu lakini umesahau kuwa Muislam ndugu yake ni Muislam.

Waislam ni kama kiwiliwili kimoja, ukikiumiza kidole mwili nzima utapata homa.

Huwezi leo ukanambia Myahudi anagombea ardhi na Muislam mwenzangu halafu anauw watoto, wazee, bila hesabu halafu mimi nisiumie huku nilipo.

Au midege na manowari za kivita za Marekani zinawaua Waislam wenzangu huko Iraq na Syria halafu mimi nisiumie huku?

Upuuzi huo.

Si kweli.

Muislam hana sababu ya kumchukia yeyote yule.
Una chuki juu ya hayo ila huna chuki juu ya waafrika waliokuwa wakipigwa mijeledi na kufanywa watumwa..?

Swala sio kujitambua wewe u muislam au mkiristu swala ni utu,huku tutarumbana mpk siku hekima za kiutu zitakapo wajaa ktk vichwa vyenu.
 
Umepiga porojo ndefu lakini umesahau kuwa Muislam ndugu yake ni Muislam.

Waislam ni kama kiwiliwili kimoja, ukikiumiza kidole mwili nzima utapata homa.

Huwezi leo ukanambia Myahudi anagombea ardhi na Muislam mwenzangu halafu anauw watoto, wazee, bila hesabu halafu mimi nisiumie huku nilipo.

Au midege na manowari za kivita za Marekani zinawaua Waislam wenzangu huko Iraq na Syria halafu mimi nisiumie huku?

Upuuzi huo.

Si kweli.

Muislam hana sababu ya kumchukia yeyote yule.
Mbona Saudia yupo na Marekani , au hilo hamlioni ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom