Antena ya Azam TV

Mnyalu Junior

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
573
199
Baada ya kufunga Antena ya Azam nilipambana kuona INTENSITY na QUALITY lakini naona tu kote inasoma ZERO ingawa chanels zinaonesha. Japo kuna mda kunatokea scratches za hapa na pale kitu ambacho ndicho kinachonilazimu kutaka kujua nguvu ya hizo signal na bahati mbaya ndo hivo HAZIONEKANI!

Naomba kuuliza; inamaana kwa visimbuzi vya Antena; Intensity na Quality huwezi ona au kuna namna nyingine ya kuangalia?
 
Hapo kiongozi Kuna model nyingi ya ving'amuzi vya antenna Kuna ambavyo signal strength na quality always ni 00000 azipandishi wewe usiangalie huko kitakupoteza wewe jitaidi kuongeza ulefu was antenna Yako kwenda juu na kuielekezea eneo lenye minara Yao inategemea na mkoa model ya kwanza ya antenna ya azam ndio michezo yake hiyo strength na quality hazipandi qc alizingua
 
Tena mimi nimenunua November hii hapo Kigamboni kwenye store yao. Hapo kutoweka indication yoyote wamechemka; ingefaa QUALITY na INTENSITY ziwe zinaonekana ili mtu anapofunga Antena yake ajue strength ya signal. Hii itamrahisishia kujua km Antena ipo kwenye uelekeo sahihi ama la
 
Back
Top Bottom