Napataje matokeo ya kidato cha pili ya miaka ya nyuma?

Mnyalu Junior

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
573
199
Habari wana JF,

Nahitaji kupata matokeo ya kidato cha pili kuanzia mwaka 2000 hadi sasa lakini bahati mbaya NECTA hayaonekani, yapo tu ya miaka ya hivi karibuni.

Nahitaji kwa ajili ya kutengeneza database ya shule yangu. Je, ni njia gani nitayapata?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom