Recent content by Mntambo

  1. Mntambo

    Kuunganisha kadi za P5 mini LED

    Nina hizi kadi 2 za P5 MINI LED nataka kuziunga ili nipate display ndefu zaidi. Kwa wazoefu hili linawezakana?
  2. Mntambo

    Tanzia: Mwanachama mwenzetu wa JamiiForums, Msamiati afariki dunia

    Poleni sana ndugu, jamaa na marafiki mliompoteza mpendwa wenu.
  3. Mntambo

    Msaada:Naomba mtu anitengenezee LOGO

    mkuu contact hizi hapa raysiza@desiamore.com
  4. Mntambo

    Nimefiwa na mtoto jana muhimbili!

    Poleni sana. Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
  5. Mntambo

    End of the World: Nostradamus 2012, December 21 - Mayan Prophecy

    bujibuji aliyoyasema huyo bibi mbona yote yalitabiriwa kwenye Biblia (hasa Daniel na Ufunuo) , ila ukweli wa siku yenyewe ya kuja kwa Yesu ambapo ndo tunasema mwisho wa hii dunia hakuna ajuaye ila Mungu mwenyewe. Tuwe makini tu kwamba tuwe tayari kwa siku hiyo kulingana na ishara tulizopewa...
  6. Mntambo

    Wana-jf nimefiwa na mke wangu!!

    Pole sana, Mungu akupe faraja ktk kipindi hiki kigumu.
  7. Mntambo

    Utapeli tiGOPesa!

    Tigo wame post hii kwenye wall yao ya facebook Tigo Pesa upholds the highest standards of security and privacy in accordance with local and international regulatory procedure. Should you be experiencing any problems or issues with your service, please refer to our customer service department...
  8. Mntambo

    Utapeli tiGOPesa!

    Hayo yamenikuta na mie last week. Sijafanikiwa kurudishiwa 5,000 niliyonunua vocha kwa tigo pesa.Ingia kwenye http//m.tigo.co.tz/customercare usajili tatizo lako.Niliambiwa labda kuanzia kesho mambo yatakuwa sawa, tusubiri, ila ni vyema ukasajili tatizo lako customer care.
  9. Mntambo

    Son in a boarding school

    Duh nimeipenda hiyo! Daddy was too smart for the boy!
  10. Mntambo

    king'amuzi cha STar TImes hovyoooo..

    Jaribu kuwaita mafundi wao, yawezekana ni suala la kuelekeza antenna sehemu nzuri zaidi yenye kukamata signal.Mie nimekuwa natumia king`amuzi hicho toka mwaka jana sijapata matatizo.
  11. Mntambo

    make Tsh 17000 on part time

    Mbona hajatueleza jinsi unavyoweza ku earn hizo 17000 badala yake anaelekeza tu kuwekewa 77000 kwenye M-Pesa? Utapeli mwingine bwana! Ahhh watanzania kuweni macho.
  12. Mntambo

    Shahada halisi aliyopewa mkwere

    Nadhani Kamanzi kamaanisha blank phd kama kweli ipo maana hata mie attachment haina kitu!
  13. Mntambo

    DOWANS vs TANESCO - Why TANESCO Lost?

    Alama za nyakati zipo tayari ukutani, siku inakuja haya yote yatawatokea puani.
  14. Mntambo

    Siku ya mwisho wanyama wote nao wataenda mbinguni au jehanun?

    Biblia inasema kutakuwa na utawala mpya hapa duniani utakaoanzishwa na Mungu mwenyewe. Ndio, wanyama wote watakuwepo pia! Tafadhali soma kitabu cha Isaya sura ya 11 mstari wa 1 hadi wa 9 utayapata hayo.
  15. Mntambo

    Dr. Slaa anasema atauza saruji kwa shilingi elfu tano…kiwanda anacho?

    Yale yale ya mwenye shibe hamjui mwenye njaa. Imeandikwa kwamba kilio cha mnyonge humfikia Mungu naye humsikia. Tuboreshe maisha yetu watanzania kwa kuchagua upinzani!
Back
Top Bottom