Recent content by mnogapavanu

  1. mnogapavanu

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Nadhani mechi ya derby ndo aliyesababisha mabadiriko Yanga ikashinda Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
  2. mnogapavanu

    Afrika ‘haiwezi kuhimili’ wimbi la pili la virusi vya corona

    WHO wangependa Africa wapewe chanjo hii ili wawekewe codes kwenye miili yao ikiwa ni mwanzo wa New world Order
  3. mnogapavanu

    Mustakabali wa IPP Media baada ya Reginald Mengi kutuaga

    Huu ndo ukweli unaotakiwa.Tujifunze kusoma mambo muhimu ili kujua zaidi.R.I.P MENGI
  4. mnogapavanu

    Mume wa mtu ananitesa

    Maana wanssema usiusemee moyo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mnogapavanu

    Mume wa mtu ananitesa

    Hapo nimekupata.Ila huyu dada kazua bala humu ndani Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mnogapavanu

    Mume wa mtu ananitesa

    Mi nadhani hoja iwe serious kuwa utolewe ushauri na si kufanyiana mzaha Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mnogapavanu

    Mume wa mtu ananitesa

    Mimi kwa kiukweli nimekuelewa.Swala si kuolewa Au kuoa unayemuamini au anayekuamini.Hapa ni natural interest kwamba unampenda kwa Sababu gani Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mnogapavanu

    Mume wa mtu ananitesa

    Niseme ukweli kuomba ushauri ni jambo jema sana.Tusimulaumu maana alikuwa hana uhakika na fikira zake.Cha msingi ni kuwa wewe dada hujajua raha ya kumpata mtu anayekuamini. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mnogapavanu

    Magoli 10 ya kufungwa katika mechi mbili,Simba inabaki vipi kama ilivyo?

    Naweza kubaliana na consultant kwamba aina ya chakula kwa wachezaji wa Simba na ni tatizo,ukilinganisha na Alahly.Wenzetu wanatumia zaidi raw food (Ngano).Hiki chakula humpa mtu nguvu na uwezo wa juu Sana katika kufikiria.Hivyo maamuzi yao uwanjani yanakuwa sahihi sana na kwa haraka. Sent using...
  10. mnogapavanu

    Msaada wa sim gani inakaa na charge kati ya sumsung galax s6edge+ au s7

    Maana sijaiwasha bado nimeichaji basi.Kuiregister kwenye mtandao Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mnogapavanu

    Msaada wa sim gani inakaa na charge kati ya sumsung galax s6edge+ au s7

    Maana bado sjairegister Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mnogapavanu

    Msaada wa sim gani inakaa na charge kati ya sumsung galax s6edge+ au s7

    Jamani naomba msaada mi nimenunua galaxy j4+ hii inaweza kuwa og Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mnogapavanu

    Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

    Walisema mifuko inaenda kufa,kwani michango ya miaka yote ilikuwa inaenda wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. mnogapavanu

    Hivi unajuaga vipi kama umeanza kulewa ukiwa unakunywa pombe??

    Kubwa zaidi ukiona mtu kakwambia jambo muda huo ujue huo ni ukweli mtupu USIPUUZIE kabisa.Maana mtu anatoa hisia zake za ndani kabisa. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. mnogapavanu

    Hivi unajuaga vipi kama umeanza kulewa ukiwa unakunywa pombe??

    Hoja zipo nyingi ila hiyo ya kupiga simu inajionyesha haraka zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom