Mume wa mtu ananitesa

Mume wa mtu ananitesa

dada yang kusema kweli wewe huna hof ya mung coz kumtamn mume wa mt ilibak ww n mke wa mt ni dhamb katubu halaf cna uhakika kam ulimtumia picha za uchi hebu tuma na huku tuhakikishe bac
 
Aisee,
(Kutumiana picha za uchi, mke wa mtu kutamani kupeana raha na mume wa mtu)
Hiyo hofu ya Mungu unayojinasibu kuwa nayo ni ya Mungu yupi?
Tafadhali tubu hiyo dhambi haraka na utulie na mumeo.

Nb:-
Hebu nitumie na mimi hizo picha nithibitishe kama ni za uchi kweli?
Hugo ni mungu Baali nk, siyo MUNGU huyu tunayemuabudu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za weekend wakuu

Miaka 7 iliyopita nilikutana na kaka mmoja Muheza Tanga alikuwa kikazi na mimi pia nilikuwa nipo pale kikazi. Tulikuwa marafiki sana nikajikuta nampenda sana ila yeye alikuwa na mahusiano yake.

Basi siku moja uzalendo ukanishinda nikamwambia M, nakupenda sana akasema hata yeye ana hisia na mimi ila ana mchumba wake anamsomesha so hawezi kumuacha. Basi niliumia lakini nilimuelewa tukabaki kuwa marafiki.

Baada ya mwaka nikapata mchumba nikaolewa, nikabahatika kupata watoto wawili na mume wangu ambae naishi nae mpaka sasa kwa kweli Mr ananipenda na wote tuna hofu ya Mungu hatujawahi kuumizana kwa namna yoyote miaka yote mitano tuliiishi wote.

Jamaa yangu yule wa Muheza naye mwaka juzi akaoa, lakini ndoa yao haina amani wanagombana kila siku.

Mwaka jana waligombana M, akanitafuta kuwa wife anamsumbua na wametengana basi tukajikuta tumefall in love tunatumiana picha mpaka za uchi nikajikuta nampenda sana kuliko hata mume wangu na hapo hatujawahi kusex hata siku moja.

Mwaka jana wakapatanishwa na wife wake, akaniambia nikamwambia sawa sababu hata mimi pia nina mume so sio big inshu.

Akaniambia, "Unajua nini V, tulia kwenye ndoa yako Mungu amekupa mume mzuri na mnaishi kwa amani acha mm nipambane na hali yangu. Nilikupoteza kwa ujinga wangu ingawa bado nakupenda lakini mumeo akija kuona chat zetu atakuua."

Niliumia nikamwambia okey lakini umeniteka akili yangu naumia sana juu yako, natamani tukutane hata siku moja tupeane raha halafu tuachane akasema sawa ila mawasiliano na mimi kapunguza anaogopa mke wa mtu na mimi nimeshadata kwake.

Sijawahi kuchepuka hata siku moja namuogopa Mungu, namuogopa mume wangu akijua itakuwaje sababu ananiamini sana.

Yule jamaa wa Muheza nampenda sana tena sana na yeye ananipenda lakini naogopa kuchepuka.

Naombeni ushauri, nifanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kachepuke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyekuuliza nani? Ona moyo unavyoteseka. ...
Olewa wewe kuna Maisha baada ya ujana. ...
Kuna umri utafika idadi ya wanaume wanaovutiwa na wewe itapungua. ...
Itafika hatua wiki inapita au hata mwezi unaisha hupat hata mwanaume wa kukupa hai....
Usiku utafika utataman pawepo na mtu wa kukunong'oneza Lakn utaishia kukumbatia mito tu.....
Hapo ndipo utaanza kuhangaika kutwa kwa waganga na kuhonga vitoto vidogo. ....
Lililopangwa na mungu halitapanguliwa na kukawa salama. .....

Tena nakushauri bora uzae hata watoto watakuja kukuliwaza
Ushamkosea sana mme wako.. Hiyo hatia itakutesa miaka na miaka..
Umepata chema kwanini usiridhike shogaangu?
Ndoa za siku hizi zimekua za hovyohovyo kias jwamba sioni maana ya ndoa.. Ni bora nibaki huru na maisha yangu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa ndio nini tena kuyaleta huku S mbona unataka kunialibia tena ndoa yangu?...nimeshakueleza vyakutosha
 
jitahidi umpe mzigo huyo jamaa ili ujiridhishe kuwa ni mtamu kama unavyofikiri au vipi vinginevyo utaendelea kuteseka na moyo wako bure
 
Habari za weekend wakuu

Miaka 7 iliyopita nilikutana na kaka mmoja Muheza Tanga alikuwa kikazi na mimi pia nilikuwa nipo pale kikazi. Tulikuwa marafiki sana nikajikuta nampenda sana ila yeye alikuwa na mahusiano yake.

Basi siku moja uzalendo ukanishinda nikamwambia M, nakupenda sana akasema hata yeye ana hisia na mimi ila ana mchumba wake anamsomesha so hawezi kumuacha. Basi niliumia lakini nilimuelewa tukabaki kuwa marafiki.

Baada ya mwaka nikapata mchumba nikaolewa, nikabahatika kupata watoto wawili na mume wangu ambae naishi nae mpaka sasa kwa kweli Mr ananipenda na wote tuna hofu ya Mungu hatujawahi kuumizana kwa namna yoyote miaka yote mitano tuliiishi wote.

Jamaa yangu yule wa Muheza naye mwaka juzi akaoa, lakini ndoa yao haina amani wanagombana kila siku.

Mwaka jana waligombana M, akanitafuta kuwa wife anamsumbua na wametengana basi tukajikuta tumefall in love tunatumiana picha mpaka za uchi nikajikuta nampenda sana kuliko hata mume wangu na hapo hatujawahi kusex hata siku moja.

Mwaka jana wakapatanishwa na wife wake, akaniambia nikamwambia sawa sababu hata mimi pia nina mume so sio big inshu.

Akaniambia, "Unajua nini V, tulia kwenye ndoa yako Mungu amekupa mume mzuri na mnaishi kwa amani acha mm nipambane na hali yangu. Nilikupoteza kwa ujinga wangu ingawa bado nakupenda lakini mumeo akija kuona chat zetu atakuua."

Niliumia nikamwambia okey lakini umeniteka akili yangu naumia sana juu yako, natamani tukutane hata siku moja tupeane raha halafu tuachane akasema sawa ila mawasiliano na mimi kapunguza anaogopa mke wa mtu na mimi nimeshadata kwake.

Sijawahi kuchepuka hata siku moja namuogopa Mungu, namuogopa mume wangu akijua itakuwaje sababu ananiamini sana.

Yule jamaa wa Muheza nampenda sana tena sana na yeye ananipenda lakini naogopa kuchepuka.

Naombeni ushauri, nifanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli huchomoki lazima atakucharaza tu hata akitaka umzalie mtoto ukiwa kwa mmeo sidhani kama utachomoka. Kumaliza kiu yako mpe tu uache kuutesa mwili wako usije kufa na presha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom