Hivi unajuaga vipi kama umeanza kulewa ukiwa unakunywa pombe??

tembajr

JF-Expert Member
May 27, 2016
722
1,000
Wakuu bila kupoteza tym hivi wakati uko bar unapiga ulabu/vyombo kuna stage unafika unaona hapa naanza kulewa, kuna wengine wakianza muona bar maid mzuri balaa basi anajua tayari vyombo viko moto.
vipi kuhusu wengine tupeane experiece kidogo wakuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Benny

JF-Expert Member
Jun 6, 2014
3,259
2,000
kwanza mwili unaanza kuchangamka.

mawazo yanakua halisi unaiona dunia ile ya kweli.

unaanza kukumbuka watu unaowadai na wanaokudai na kujenga mikakati uwalipe vipi

Mziki hata kama hauujui sana sasa unakua mzuri zaidi.

wahudumu wanakua na tabasamu na urembo zaidi.

Kama mpo wengi story za siasa na mpira zinanoga

Kujiamini kunaongezeka

Wengine kingereza au lugha za nyingine zinakuja zenyewe.
 
upendodaima

JF-Expert Member
May 23, 2013
3,879
2,000
Mimi kawaida nikilewa huwa nakuwa mgomvi kitu ambacho kimefanya nipumzike pombe sasa kwa muda nijitafakari.

Kabla ya kunywa nakuwa mtu safi sana lakini zikianza kukolea hapo mtu asiniletee dharau wala mbwembwe inakuwa tafrani,nakuwa najiamini kiasi mtu anaweza dhani nina black belt ya karate au nina heater kwa waist kumbe mavi ya kuku tu.
 
john mtulivu

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
226
250
mtaalmu

Top Bottom