Mume wa mtu ananitesa

Mume wa mtu ananitesa

Huu ni ujinga kabisa, linda ndoa yako na watoto hangaika kama hujawaacha watoto njia panda
Habari za weekend wakuu

Miaka 7 iliyopita nilikutana na kaka mmoja Muheza Tanga alikuwa kikazi na mimi pia nilikuwa nipo pale kikazi. Tulikuwa marafiki sana nikajikuta nampenda sana ila yeye alikuwa na mahusiano yake.

Basi siku moja uzalendo ukanishinda nikamwambia M, nakupenda sana akasema hata yeye ana hisia na mimi ila ana mchumba wake anamsomesha so hawezi kumuacha. Basi niliumia lakini nilimuelewa tukabaki kuwa marafiki.

Baada ya mwaka nikapata mchumba nikaolewa, nikabahatika kupata watoto wawili na mume wangu ambae naishi nae mpaka sasa kwa kweli Mr ananipenda na wote tuna hofu ya Mungu hatujawahi kuumizana kwa namna yoyote miaka yote mitano tuliiishi wote.

Jamaa yangu yule wa Muheza naye mwaka juzi akaoa, lakini ndoa yao haina amani wanagombana kila siku.

Mwaka jana waligombana M, akanitafuta kuwa wife anamsumbua na wametengana basi tukajikuta tumefall in love tunatumiana picha mpaka za uchi nikajikuta nampenda sana kuliko hata mume wangu na hapo hatujawahi kusex hata siku moja.

Mwaka jana wakapatanishwa na wife wake, akaniambia nikamwambia sawa sababu hata mimi pia nina mume so sio big inshu.

Akaniambia, "Unajua nini V, tulia kwenye ndoa yako Mungu amekupa mume mzuri na mnaishi kwa amani acha mm nipambane na hali yangu. Nilikupoteza kwa ujinga wangu ingawa bado nakupenda lakini mumeo akija kuona chat zetu atakuua."

Niliumia nikamwambia okey lakini umeniteka akili yangu naumia sana juu yako, natamani tukutane hata siku moja tupeane raha halafu tuachane akasema sawa ila mawasiliano na mimi kapunguza anaogopa mke wa mtu na mimi nimeshadata kwake.

Sijawahi kuchepuka hata siku moja namuogopa Mungu, namuogopa mume wangu akijua itakuwaje sababu ananiamini sana.

Yule jamaa wa Muheza nampenda sana tena sana na yeye ananipenda lakini naogopa kuchepuka.

Naombeni ushauri, nifanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa wa muheza kashakushauru vizuri tu. Acha mawasiliano naye utamfuta akilini mwako ,ila ukiendeleza mawasiliano,lazima utachepuka ingawa kuchepuka nusu tayari,si mmeshaoneshana nyuchi zenu
ahahahahahhaah kashaona uchi() nadhani jamaa alitaka kuwa kipoozeo tu maana mke kaludi ndo kamshauri usishangae akiondka akalud tena
 
Itanichukua Muda sana mi kuoa ninayo yaona ni mengi sna kwenye ndoa za sasa...mke wa mtu anampost bwana ake mitandao yote na baadae anakusumbua amemiss dudu.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu atuepushe na mitihani, dunia hii ni mitihani kila kona. Jikaze dada yangu wala usijisikie vibaya, hata mitume pia kuna sehemu waliteleza, binadamu hatuko perfect, kuteleza ni asili yetu, muhimu ni kujua wapi umeteleza na kujipanga upya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dada kwanza pole ila ili uishi kwa amani jitahidi kwa namna yoyote ile umpate huyo jamaa wa muheza mpe tunda ale mapenzi mtakayopeana siku moja yata detamine mustakabari wa upendo wako kwake pengine hutafaidi penzi kuliko la mume wako hivyo utaona kuwa ni bora kuishi na umeo kuliko huyo jamaa pia huwezi kujua kwanini ndoa ya huyo jamaa wa muheza haina amani huenda anamatatizo ambayo hata wewe ukutembea naye yatakushinda hivyo usijekuwa unaumia kumbe jamaa hana lolote kimapenzi muonekano wa mtu siyo perfomance yake kitandani na wanawake navyowajua mwanaume usiposimamia vidole kwenye shoo unaachwa mchana kweupeeee jitahidi umpate akugegede bibie
 
we kumanina kweli kweli,mumeo kwani hana dudu.Mchuma janga hula na wakwao.
 
Dada shukuru Mungu kwa mume ulienaye maana mume wa hvo tuko saba tu Tz sasa ukiliamsha dude utalia na kusaga meno huyo mnatamaniana tu wala hata hampendani kama mtu alikuwa na fursa kipindi hujaolewa sasa hivi unamtafutia nini huko ni kutokujielewa kama kweli angekupenda asingewaza hata huyo wakusoma kwa sababu mwanaume anakuwa na mapenzi na mwanamke aliyekuwa karibu ukiachika ili muoane hamtokaa hata miezi 3 tulia kwa mume wako dada tuliza tamaa za mwili haziishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haiwezekani huyo mume wako miaka yote hiyo hajawahi kukuchepuka. Fanya uchunguzi, ukijithibitishia kuwa amechepuka, lipiza kisasi kwa raha zako. Ila kumbuka kinga.
 
Basi wewe na huyo mwanaume wa mtu mmeshindwa kutumia akili vizuri, nakuhakikishia kwenda kwa mwanaume huyo itakuwa chanzo cha wewe kuharibu amani ya ndoa yake...Trust me,wanaume wengi ambao wanawake zao wanachepuka ndoa zao huishia kuvunjika..hata mimi siwezi kukubali kutumbukiza mkwaju wangu mahala ambapo wanaume wengine wametumbukiza...mke kutoka nje ya ndoa ni dharau kubwa sana kwa mme wake...uke wa mwanamke akishaolewa inabidi uwe siri ya mme wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo PC sio kwamba ni full pc, ni nusu na wala hazioneshi sura,
Inamaana mm ni mjinga kiasi gani nijiachie hivyo,

Jaman nitukaneni mnushutumu, lakin mapenzi yanatesa na nampenda SNA yule jamaa wa Muheza nahisi anaweza nikuna vzr na dudu lake kubwa, Mr HANITOSHEREZI over

Mnitukane lakin vaen kiatu changu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kwa kiukweli nimekuelewa.Swala si kuolewa Au kuoa unayemuamini au anayekuamini.Hapa ni natural interest kwamba unampenda kwa Sababu gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushachepuka siku nyingi, usikubali tu kumalizia final step.

Cheating is not just physical. If you do anything that would be detrimental to the trust in your marriage that amounts to cheating.

Hata kumkonyeza mkaka kwenye Mall afu unajifanya jicho linawasha pia ni cheating japokuwa mi ngumu kumesa 😃😃😃😃😃🙄🙄🙄🙄🙄
 
Basi wewe na huyo mwanaume wa mtu mmeshindwa kutumia akili vizuri, nakuhakikishia kwenda kwa mwanaume huyo itakuwa chanzo cha wewe kuharibu amani ya ndoa yake...Trust me,wanaume wengi ambao wanawake zao wanachepuka ndoa zao huishia kuvunjika..hata mimi siwezi kukubali kutumbukiza mkwaju wangu mahala ambapo wanaume wengine wametumbukiza...mke kutoka nje ya ndoa ni dharau kubwa sana kwa mme wake...uke wa mwanamke akishaolewa inabidi uwe siri ya mme wake

Sent using Jamii Forums mobile app

Mwanaume akichepuka anamzidishia mke heshima sio?
 
Habari za weekend wakuu

Miaka 7 iliyopita nilikutana na kaka mmoja Muheza Tanga alikuwa kikazi na mimi pia nilikuwa nipo pale kikazi. Tulikuwa marafiki sana nikajikuta nampenda sana ila yeye alikuwa na mahusiano yake.

Basi siku moja uzalendo ukanishinda nikamwambia M, nakupenda sana akasema hata yeye ana hisia na mimi ila ana mchumba wake anamsomesha so hawezi kumuacha. Basi niliumia lakini nilimuelewa tukabaki kuwa marafiki.

Baada ya mwaka nikapata mchumba nikaolewa, nikabahatika kupata watoto wawili na mume wangu ambae naishi nae mpaka sasa kwa kweli Mr ananipenda na wote tuna hofu ya Mungu hatujawahi kuumizana kwa namna yoyote miaka yote mitano tuliiishi wote.

Jamaa yangu yule wa Muheza naye mwaka juzi akaoa, lakini ndoa yao haina amani wanagombana kila siku.

Mwaka jana waligombana M, akanitafuta kuwa wife anamsumbua na wametengana basi tukajikuta tumefall in love tunatumiana picha mpaka za uchi nikajikuta nampenda sana kuliko hata mume wangu na hapo hatujawahi kusex hata siku moja.

Mwaka jana wakapatanishwa na wife wake, akaniambia nikamwambia sawa sababu hata mimi pia nina mume so sio big inshu.

Akaniambia, "Unajua nini V, tulia kwenye ndoa yako Mungu amekupa mume mzuri na mnaishi kwa amani acha mm nipambane na hali yangu. Nilikupoteza kwa ujinga wangu ingawa bado nakupenda lakini mumeo akija kuona chat zetu atakuua."

Niliumia nikamwambia okey lakini umeniteka akili yangu naumia sana juu yako, natamani tukutane hata siku moja tupeane raha halafu tuachane akasema sawa ila mawasiliano na mimi kapunguza anaogopa mke wa mtu na mimi nimeshadata kwake.

Sijawahi kuchepuka hata siku moja namuogopa Mungu, namuogopa mume wangu akijua itakuwaje sababu ananiamini sana.

Yule jamaa wa Muheza nampenda sana tena sana na yeye ananipenda lakini naogopa kuchepuka.

Naombeni ushauri, nifanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu kichwa cha habari kinatakiwa kuwa: NINAMTESA MUME WA MTU na sio UNATESWA NA MUME WA MTU. Saasawa bwana mdogo?
 
Back
Top Bottom