Recent content by Mnenei

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Mkuu,,, hv inapokea employer akavunja mkataba, kwenye termination letter hakukuwa na reason yeyote ya termination, haki za mwajiriwa ni zipi,,, na kayoka hilo mkataba uko valid kwa muda wa miez 9 ijayo!!! Je muajiriwa ana haki ya kulipwa na miez yote iliyobakia? Natanguliza shukrani kwa hili
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

    Duuuuh mkuu ilikuwa mwaka gani hii? maana nmesoma pale Gamba boys 2005
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daaaah kamanda ushakula tayar,,, hongera
  4. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Isaac Muyenjwa Nyagabona Gamba afariki dunia

    RIP Aisee kifo hiki hakina mwenyewe kwa kwel
  5. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Mapinga Kiwanja Surveyed plot SQ 1800

    o_Oo_Oo_Oo_Oo_O kweli ndoto,,,,, haya wateja kujeni huku !!!!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta wakala wa ununuzi na usambazaji wa unga wa sembe Dar

    Weka bei hapa,, mambo ya PM ni uchoyo usiokuwa na tija,,,
  7. M

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba Inauzwa Mbagala Bei Mil 14

    alfu lela ulela,,, wateja njooni
  8. M

    JamiiForums Tanzania LHRC watoe tamko dhidi ya mauaji ya polisi wetu !

    hivi mheshimiwa nae alitoa tamko kwenye kutekwa kwa wasanii wetu na kuvamiwa kwa vituo vya tv? time will tell,,, for any action there is equal and opposite reaction
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. John Magufuli atuma salamu za rambirambi kwa IGP na familia za Askari wote waliouawa

    we tulia tu,, nature is verry fair,,, usipolala usiku utalala mchana,, na for any action there is equal and opposite reaction. Wafiwa nawapa pole ila serikali ijifunze kuona uchungu huo huo wakati raia wanatekwa na kuuwawa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nguvu na Kelele zote za Watanzania Roma Umeshindwa kusema Ukweli?

    labd a amesha ahidiwa ubunge wa viti maalumu
  11. M

    JamiiForums Tanzania UDART inavyoibiwa; Wakubwa hupanda mjini Kimara mjini kwa 400 tu...

    ACHA WIVU MKUU,, MAISHA YENYEWE YALIVYO MAGUMU,, BORA HATA KUCHANGIA HCHO KIDOGO
  12. M

    JamiiForums Tanzania Movies, Movies , Series, vitabu, na Documentary

    daaah hapa umenikamata mkuu,, ntakutafta
  13. M

    JamiiForums Tanzania First year UDSM wapewa pesa pungufu za boom

    Ona sasa umekosea tena walioferi badala ya waliofeli... acha kutoa povu mkuu,, kabla hujanyoosha kidole kwa mwenzio,, vingine vinne vinakuelekea wewe.
  14. M

    JamiiForums Tanzania First year UDSM wapewa pesa pungufu za boom

    Na wewe mrekebishaji naona umekosea bwana msomi,, 1. badala ya sitarajii umeandika sitalajii 2.unayetalajia badala ya unayetarajia 3.neno suruba umelitoa wapi kwenye kamusi ya kiswahili? tusaidie na sisi tujue maana yake
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua king'amuzi gani kizuri kwa ajili ya Sports Channels

    NA MM NAOMBA PM MKUU
Back
Top Bottom