ZionTZ
JF-Expert Member
- Oct 6, 2009
- 1,283
- 541
Habari, anatafutwa agent wa ununuzi & usambazaji wa unga wa sembe hapa Dar, kwa yeyote alie tayari ani PM, agent atakua anatoa order yake analetewa mpaka store kwake. Unga wetu ni wa ubora wa hali ya juu na nimasafi sana umetokana na mahindi tuliyoyalima wenyewe na kuyahifadhi wenyewe katika ubora wa hali ya juu. Upo katika ujazo mbalimbali kuanzia 5kg,10kg na 25kg. Bei yetu ni nafuu sana ukilinganisha na bei ya soko kwa sasa.
kwa alie tayari ani PM kwa mazungumzo zaidi.
kwa alie tayari ani PM kwa mazungumzo zaidi.