Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,435
- 1,195
Duh
Wakati huo we upo kwenye korodani za mamako sioHuu ndio mwisho wa uwezo wako wa kufikiri kwamba kila mtu ni wa umri wako na ni mwanafunzi, kwamba kila mtu anategemea bodi ya mikopo kusoma wakati wenzanko tumesoma kwenye i20 system kitambo sana inawezekana ukiwa bado upo kwenye korodani za baba'ko.
Mtoto wa mama kamwe huwezi kuijuwa suruba, kama unadhani kila kitu kinafundishwa darasani pole sana subiri upate degree yako ya kukariri mitihani uje mtaani ukutane na walioferi darasa la saba na form four ndio wanaoshikilia channel zote za pesa.
Kweli nyani haoni kundule. Wewe umeandika nini sasa? Wewe primary ulifundishwa "Sitalajii" maana yake nini? Unamnanga mwenzio wakati wote ni jahazi na tanga.......Hii ni hasara kwako na kwa familia yako, msomi wa chuo kikuu hata kuandika hujui unawaza boom tu.
Upper case na lower case nadhani ni vitu ulivyofundishwa tangu Primary school, sasa iweje kijana unayetalajia kuwa mbobebezi mpaka leo hata kanuni tu za uandishi hujui?
Unapoanza sentensi huwa tunaanza na herufi kubwa. Sitalajii excuse kwa jambo kama hili kutoka kwa mwanafunzi ambaye akili yake bado haijakutana na suruba za kitaa.
Wanasaini kwanza. wakienda kwenye wanakuta pungufuYaani usaini 710,000 lakini uchukue laki 4 una wazimu?
Ndio kinachofata tena bandar ipo apo posta mtanikuta ujeruman tuBoom lina sheria kali mpaka kulipata,
Wale wa mwanzo kusign walitumia temporary ID Kusign ila ajabu kwa walioenda kuanzia leo bila permanent ID huwez sign..
Na izo ID kila ukifata kwenye college yako,mizinguo tu......
Sasa sijui wanataka tuzamie meli twende ULAYA
Ona sasa umekosea tenaHuu ndio mwisho wa uwezo wako wa kufikiri kwamba kila mtu ni wa umri wako na ni mwanafunzi, kwamba kila mtu anategemea bodi ya mikopo kusoma wakati wenzanko tumesoma kwenye i20 system kitambo sana inawezekana ukiwa bado upo kwenye korodani za baba'ko.
Mtoto wa mama kamwe huwezi kuijuwa suruba, kama unadhani kila kitu kinafundishwa darasani pole sana subiri upate degree yako ya kukariri mitihani uje mtaani ukutane na walioferi darasa la saba na form four ndio wanaoshikilia channel zote za pesa.
mkuu kuna tofauti kati ya kujua na kuzingatiaHii ni hasara kwako na kwa familia yako, msomi wa chuo kikuu hata kuandika hujui unawaza boom tu.
Upper case na lower case nadhani ni vitu ulivyofundishwa tangu Primary school, sasa iweje kijana unayetalajia kuwa mbobebezi mpaka leo hata kanuni tu za uandishi hujui?
Unapoanza sentensi huwa tunaanza na herufi kubwa. Sitalajii excuse kwa jambo kama hili kutoka kwa mwanafunzi ambaye akili yake bado haijakutana na suruba za kitaa.
na ndo ivyo inatakiwa sasa hawa sijui kwanin wamesain 710,mwaka jana first year walisain 724Mbn udom tumesain laki 720??
Hii ni hasara kwako na kwa familia yako, msomi wa chuo kikuu hata kuandika hujui unawaza boom tu.