Season 2 ipoMkuu scorpion season two unayo?
Mkuu nitakutafuta,ila nitakuja na flashSeason 2 ipo
It seems tutakuwa wote kwenye sensa....where and how do we meet na mimi nikupe madini mengine?Nitakuwa moshi kuanzia tareh 15 December unaweza kunicheki muda huo.
Pc games vipi unazo zipiLile lipo na mengine pia ya action yapo
Pc games zipo FIFA, Pesi, EURO Truck, Need for speed, GTA, na zingine nyingiPc games vipi unazo zipi
Karibu mkuuMkuu nitakutafuta,ila nitakuja na flash
Mkuu bado upo moshi?Nitakuwa moshi kuanzia tareh 15 December unaweza kunicheki muda huo.
Nipo shinyanga nakupatajeKaribu mkuu
Nipo dar kwa sasaMkuu bado upo moshi?
Sure mkuuMkuu umekosea animation sio za watoto tu
Kwa sasa huduma ni kwa dar pekeeNipo shinyanga nakupataje
Hajui huyoo tamu kweli zileMkuu umekosea animation sio za watoto tu
Mkuu siku ukija moshi naomba ni PM tafadhaliKwa sasa huduma ni kwa dar pekee