First year UDSM wapewa pesa pungufu za boom

habari zenuu,wanafunzii wa mwakaa wa kwanza wachuo cha udsm wapewa boom zilee za asilimia sioo laki 710 kama ndalichkoo halivyosemaa,mfanoo mwingnee kapewa lak4,mwingne laki 6
Ofcoz ni kweli kama mm wamenipa kwa percent cjui 690K ndo wamenipaa jamaa wanatuibiaa sijuii
 
Hii ni hasara kwako na kwa familia yako, msomi wa chuo kikuu hata kuandika hujui unawaza boom tu.

Upper case na lower case nadhani ni vitu ulivyofundishwa tangu Primary school, sasa iweje kijana unayetalajia kuwa mbobebezi mpaka leo hata kanuni tu za uandishi hujui?

Unapoanza sentensi huwa tunaanza na herufi kubwa. Sitalajii excuse kwa jambo kama hili kutoka kwa mwanafunzi ambaye akili yake bado haijakutana na suruba za kitaa.
Achaa ujinga mwenzakoo hajakoseaa kitu hapoo we ndo zezetaa
 
Hii ni hasara kwako na kwa familia yako, msomi wa chuo kikuu hata kuandika hujui unawaza boom tu.

Upper case na lower case nadhani ni vitu ulivyofundishwa tangu Primary school, sasa iweje kijana unayetalajia kuwa mbobebezi mpaka leo hata kanuni tu za uandishi hujui?

Unapoanza sentensi huwa tunaanza na herufi kubwa. Sitalajii excuse kwa jambo kama hili kutoka kwa mwanafunzi ambaye akili yake bado haijakutana na suruba za kitaa.
Na wewe mrekebishaji naona umekosea bwana msomi,,

1. badala ya sitarajii umeandika sitalajii
2.unayetalajia badala ya unayetarajia
3.neno suruba umelitoa wapi kwenye kamusi ya kiswahili? tusaidie na sisi tujue maana yake
 
Hiyo hela mshukuru Mungu .

Hiyo hela ndo meenda nayo jana FIESTA,mmenda nayo CINEMAX,mmeenda nayo gesti kusugulia mademu.
Meenda nayo kupigia mtungo hapo hall six,Mungu anakuona.

Maisha yako yote jana ndio umeanza kunywa HEINEKEN ,na dem Ukamnywesha AMARULA,kuonyesha wewe ni kidume wakati hela za mkopo,hela wamekatwa wamama wanaofagia barabara ,waosha maiti,polisi wanaokwsha barabarani,eeh hamna huruma,Asaivi mpo na huyo mwanamke BREAK POINT mnazimua supu ya SWALA alafu mnaenda GESTI hapo Sinza kumalizia shetani alichowaanxishia jana,eeh Mola kwa wanaotufanyia hivi nina maombi machache kama ifuatavyo:-

1:-Wanafunzi wote walitumia hela ya mkopo kuzinia/sex ,kupigia dem wapate supp first semister,wapate carry forwaed, na semister ya pili wa discontinue.

2:-Waliosex huku wamepata mkopo 100% washike mimba,washindwe kuendelea na masomo,Mwanaume amkimbie na kwao afukizwd maana mahahara wa dhambi ni mauti bali karama ya Mungu ni uzima wa milele.

3:-Wapate UKIMWI na magonjwa mengineyo ili iwe funzo.

4:- Wakute vyumbani mwai wameibiwa Laptop zao,simu na hela waliokuwa wameficha chini kabisa mwa begi.

5.:-Watakao nusurika kabisa basi mwaka wa mwisho wafeli/disco ili wajutie na wakumbuke hii siku ya fiesta,wakurudie.

6:- Hili ni ombi langu la milele waokoke na kusamehewa dhambi.,wameshindwa kuelewa FIESTA mwanzilishi wake ni Free Mason!
Ule utafiti wa katika kila wanne mmoja chizi unathibitika katika hili bandiko lako.

Wewe yaonekana ni limbukeni njoo mitaa ya kwetu Tabata bia zote zinauzwa bei moja 2500 hakuna cha Heineken, safari, Windhoek wala Kilimanjaro, bei ni moja tu, kwetu kunywa Heineken ni choice ya mtu na siyo class.
 
Wotee nyie mmekosaa udsm ndo manaa mnalalamaa
Huu ndio mwisho wa uwezo wako wa kufikiri kwamba kila mtu ni wa umri wako na ni mwanafunzi, kwamba kila mtu anategemea bodi ya mikopo kusoma wakati wenzanko tumesoma kwenye i20 system kitambo sana inawezekana ukiwa bado upo kwenye korodani za baba'ko.
Na wewe mrekebishaji naona umekosea bwana msomi,,

1. badala ya sitarajii umeandika sitalajii
2.unayetalajia badala ya unayetarajia
3.neno suruba umelitoa wapi kwenye kamusi ya kiswahili? tusaidie na sisi tujue maana yake
Mtoto wa mama kamwe huwezi kuijuwa suruba, kama unadhani kila kitu kinafundishwa darasani pole sana subiri upate degree yako ya kukariri mitihani uje mtaani ukutane na walioferi darasa la saba na form four ndio wanaoshikilia channel zote za pesa.
 
Hii ni hasara kwako na kwa familia yako, msomi wa chuo kikuu hata kuandika hujui unawaza boom tu.

Upper case na lower case nadhani ni vitu ulivyofundishwa tangu Primary school, sasa iweje kijana unayetalajia kuwa mbobebezi mpaka leo hata kanuni tu za uandishi hujui?

Unapoanza sentensi huwa tunaanza na herufi kubwa. Sitalajii excuse kwa jambo kama hili kutoka kwa mwanafunzi ambaye akili yake bado haijakutana na suruba za kitaa.
Na wewe kajifunze matumizi ya r' Kwenye L ...
 
Hiyo hela mshukuru Mungu .

Hiyo hela ndo meenda nayo jana FIESTA,mmenda nayo CINEMAX,mmeenda nayo gesti kusugulia mademu.
Meenda nayo kupigia mtungo hapo hall six,Mungu anakuona.

Maisha yako yote jana ndio umeanza kunywa HEINEKEN ,na dem Ukamnywesha AMARULA,kuonyesha wewe ni kidume wakati hela za mkopo,hela wamekatwa wamama wanaofagia barabara ,waosha maiti,polisi wanaokwsha barabarani,eeh hamna huruma,Asaivi mpo na huyo mwanamke BREAK POINT mnazimua supu ya SWALA alafu mnaenda GESTI hapo Sinza kumalizia shetani alichowaanxishia jana,eeh Mola kwa wanaotufanyia hivi nina maombi machache kama ifuatavyo:-

1:-Wanafunzi wote walitumia hela ya mkopo kuzinia/sex ,kupigia dem wapate supp first semister,wapate carry forwaed, na semister ya pili wa discontinue.

2:-Waliosex huku wamepata mkopo 100% washike mimba,washindwe kuendelea na masomo,Mwanaume amkimbie na kwao afukizwd maana mahahara wa dhambi ni mauti bali karama ya Mungu ni uzima wa milele.

3:-Wapate UKIMWI na magonjwa mengineyo ili iwe funzo.

4:- Wakute vyumbani mwai wameibiwa Laptop zao,simu na hela waliokuwa wameficha chini kabisa mwa begi.

5.:-Watakao nusurika kabisa basi mwaka wa mwisho wafeli/disco ili wajutie na wakumbuke hii siku ya fiesta,wakurudie.

6:- Hili ni ombi langu la milele waokoke na kusamehewa dhambi.,wameshindwa kuelewa FIESTA mwanzilishi wake ni Free Mason!
Hivi mnadhani wanafunzi woote wanatumia hizo hela kwa starehe? Kweli watu Mna akili za kuambiwa na Ndalichako, tangu Muambiwe na nyie ndio mmeshikia bango kuongea hovyo hovyoo, Binafsi nilisoma kwa Fedha za Bodi,ukiondoa starehe ya Kunywa soda Mara moja moja sikuwahi kwenda Disco wala Cinemax !! Hebu tuwaheshimu hawa watoto wetu, wadogo zetu, tuache kuwashambulia kwa mihemko ya wanasiasa, wao wenyewe walisoma kwa mkopo ndio màana Leo wana power ya kuwakejeli wengine!
*Iyo Boom igawanye kwa chakula awapo hapo chuoni
*Igawanye Kwa kujinunulia materials
*Kulipia hostel/Chumba cha kupanga kwenye vyuo visivyo na hostel za kutosha
*nauli za kutoka hapa na pale
Hebu tuache kuwa Discourage hawa vijana
 
Hao waliopata laki nne au nusu itakua waislam,ndalicha anajulikana kwa chuki na hao watu,ipo moyoni mwake.
Akili za hovyo sana hizi! Sikushangai Ndalichako mwenyewe humjui kwa jina wala kumuandika,
Ni Ndakichako sio ndalicha
 
Hii ni hasara kwako na kwa familia yako, msomi wa chuo kikuu hata kuandika hujui unawaza boom tu.

Upper case na lower case nadhani ni vitu ulivyofundishwa tangu Primary school, sasa iweje kijana unayetalajia kuwa mbobebezi mpaka leo hata kanuni tu za uandishi hujui?

Unapoanza sentensi huwa tunaanza na herufi kubwa. Sitalajii excuse kwa jambo kama hili kutoka kwa mwanafunzi ambaye akili yake bado haijakutana na suruba za kitaa.
*Talajia = Tarajia
 
Naona kama wote watoto humu. Fanyeni hili swali 3+(2x1+0.5³)- -8 =

Atakayepata apewe 100% ya mkopo
 
Hiyo hela mshukuru Mungu .

Hiyo hela ndo meenda nayo jana FIESTA,mmenda nayo CINEMAX,mmeenda nayo gesti kusugulia mademu.
Meenda nayo kupigia mtungo hapo hall six,Mungu anakuona.

Maisha yako yote jana ndio umeanza kunywa HEINEKEN ,na dem Ukamnywesha AMARULA,kuonyesha wewe ni kidume wakati hela za mkopo,hela wamekatwa wamama wanaofagia barabara ,waosha maiti,polisi wanaokwsha barabarani,eeh hamna huruma,Asaivi mpo na huyo mwanamke BREAK POINT mnazimua supu ya SWALA alafu mnaenda GESTI hapo Sinza kumalizia shetani alichowaanxishia jana,eeh Mola kwa wanaotufanyia hivi nina maombi machache kama ifuatavyo:-

1:-Wanafunzi wote walitumia hela ya mkopo kuzinia/sex ,kupigia dem wapate supp first semister,wapate carry forwaed, na semister ya pili wa discontinue.

2:-Waliosex huku wamepata mkopo 100% washike mimba,washindwe kuendelea na masomo,Mwanaume amkimbie na kwao afukizwd maana mahahara wa dhambi ni mauti bali karama ya Mungu ni uzima wa milele.

3:-Wapate UKIMWI na magonjwa mengineyo ili iwe funzo.

4:- Wakute vyumbani mwai wameibiwa Laptop zao,simu na hela waliokuwa wameficha chini kabisa mwa begi.

5.:-Watakao nusurika kabisa basi mwaka wa mwisho wafeli/disco ili wajutie na wakumbuke hii siku ya fiesta,wakurudie.

6:- Hili ni ombi langu la milele waokoke na kusamehewa dhambi.,wameshindwa kuelewa FIESTA mwanzilishi wake ni Free Mason!
Hapo ulipo una kiroba mkononi, unawaza uende chimbo ukavute bange, sasa ni kwa nini usiandike utumbo kama huu? usimpangie mwanaume mwenzio jinsi ya kutumia hela zake, kama unaona uchungu nenda kajifungue!
 
Hii ni hasara kwako na kwa familia yako, msomi wa chuo kikuu hata kuandika hujui unawaza boom tu.

Upper case na lower case nadhani ni vitu ulivyofundishwa tangu Primary school, sasa iweje kijana unayetalajia
Unayetarajia
kuwa mbobebezi mpaka leo hata kanuni tu za uandishi hujui?

Unapoanza sentensi huwa tunaanza na herufi kubwa. Sitalajii
Sitarajii
excuse kwa jambo kama hili kutoka kwa mwanafunzi ambaye akili yake bado haijakutana na suruba za kitaa.
Kwema mkuu?
 
Hii ni hasara kwako na kwa familia yako, msomi wa chuo kikuu hata kuandika hujui unawaza boom tu.

Upper case na lower case nadhani ni vitu ulivyofundishwa tangu Primary school, sasa iweje kijana unayetalajia kuwa mbobebezi mpaka leo hata kanuni tu za uandishi hujui?

Unapoanza sentensi huwa tunaanza na herufi kubwa. Sitalajii excuse kwa jambo kama hili kutoka kwa mwanafunzi ambaye akili yake bado haijakutana na suruba za kitaa.

Talajia=tarajia. Usichanganye 'r' na 'l'.
 
Mnajifanya mna uwezo mkubwa sana.
Eti chuo cha udsm......ndo walewale wa barabara ya Songea road.
 
Back
Top Bottom