LHRC watoe tamko dhidi ya mauaji ya polisi wetu !

LHRC watoe tamko dhidi ya mauaji ya polisi wetu !

Wakitoa tamko lao ndiyo watafufuka? Halafu Wewe ni nani wa kuwapangia LHRC kutoa tamko? Umechangia nini katika uanzishwaji wa hiyo Taasisi? Hivi kwa mfano kama hao hao Police huwa na tabia ya kuwanyanyasa au kuwasumbua au hata kutumika vibaya dhidi ya LHRC unategemea kweli leo hii watoe tamko? Waswahili bhana!
Hopeless
 
Mada hii inahusu LHRC kutoa tamko kama ilivyo ada...my observation ni kwamba wanaogawanya wananchi sio serikali bali ni wanaharakati mithili ya LHRC ...Mheshimiwa Rais aliwahi kutoa msisitizo kwa polisi juu ya nini cha kufanya wahalifu wenye silaha tena nzito(alisema hivi kwa kuwa alikuwa well informed) sasa wanatokea wanaharakati na kuanza kuingiza siasa....ndio maana leo hii nawaita waje kutetea askari wetu kama wanavyowatetea wahalifu.
Mwambie awaelekeze mawaziri wake wapeleke muswada bungeni ili muwape ruksa polisi kuua. Sasa hivi kwa kuwa wanapoua wanafanya hivyo kinyume cha sheria ni lazima LHRC watoe matamko, hiyo ndio kazi yao. Kwamba kuna taarifa majambazi wameua polisi halafu hata kabla ya polisi kutoa taarifa rasmi unawataka LHRC watoe tamko, hii itakuwa dalili ya ugonjwa mbaya! Ni ugonjwa mbaya kwa kuwa hapa unataka kuonyesha kwamba pale LHRC wanapotoa matamko pale polisi wanapoua raia, wanakosea!
 
Waziri wako ameshatoa Tamko? Nikuulize kitu kimoja? Uliwasajili wewe? Unawafadhili wewe? Wewe ni Nani hata uwapangie cha kufanya? We umeshatoa Tamko? Au sii jukumu lako?
Mkuu wangu Ledeyson pole sana. Kwa mtizamo wa haraka haraka yaelekea kuna jambo nyuma ya pazia. Yawezekana waliofanya hivyo nikujaribu kutuamisha mawazo yaliokuwa yametawala kuhusu vyombo vyetu vya usalama na kutuaminisha jambo fulani. Kama askari wetu tena wenye silaha za moto wanaweza kuuwawa namna hii vp kuhusu sisi raia?
 
Mchungaji akimbaka waumini wake anastahili kukanywa au kufukuzwa Lakini sister Wa kanisa akibakwa huko mtaani huwezi kumkanya au kumfukuza mbakaji maana hayupo!
Police ni Taasisi ina miiko ya kazi ...jambazi sio taasisi ni vazi la sifa ya wahalifu,
HAKI ZA BINADAM NI TAASISI INAYOSIMAMIA MISINGI YA UTAWALA WA SHERIA UNAZINGATIWA...wakitoa tamko wanamwambia nani?
Yaani hapo ni sawa na serikali kutenga bajeti kumshughulikia SHETANI
 
Hapo angeuawa mtu wa chadema,yule mama angetoka usiku kuongea na waandishi wa habari
 
hawa wanaona matukio ya polisi tu wakiwa wanatekeleza majukumu yao na sio ya polisi kuuawa
 
Hapo angeuawa mtu wa chadema,yule mama angetoka usiku kuongea na waandishi wa habari
 
Hakuna watu nisiowapenda Tanzania kama hayo ma mbwa ya Haki za binadamu!! Siyapendi tena ikibidi yafe tu na yenyewe.... Hayana umuhimu
 
Kijo Bisimbi mnafiki tu, halafu kamanda Askofu Shoo siku hizi yupi kimya, vipi hajapewa mgao na mamvi, huyo askofu ni mnafiki kuzidi hata Kijo Bisimba.
Raisi hahitsji matamko kufanya kazi, anajua shida zote za wananchi na hakyna matamko yatakayomfanya kuboresha utendaji. Waache polisi wafanye kazi kazi. Siku raisi atakapohitaji matamko na ushauri atasema.
 
Kituo hiki cha wanaharakati wa haki za binadamu kimekuwa active sana pale wanapoona polisi 'wakinyanyasa' raia au kuua majambazi on the spot...
Kituo hiki kilipinga sana kauli ya Rais ya kuwataka polisi kuwashughulikia majambazi on the spot ....

Leo hii tumeshuhudia askari wetu wakiuawa wakati wanatekeleza majukumu yao...wameuawa na wasiojali haki za binadamu.

Natoa wito kwa LHRC watoe tamko au wakae kimya milele.
hivi mheshimiwa nae alitoa tamko kwenye kutekwa kwa wasanii wetu na kuvamiwa kwa vituo vya tv? time will tell,,, for any action there is equal and opposite reaction
 
Tamko litakuwa moja tu hapo: ni kwamba polisi walinde usalama ili maisha ya watu yawe salama.
 
Mada hii inahusu LHRC kutoa tamko kama ilivyo ada...my observation ni kwamba wanaogawanya wananchi sio serikali bali ni wanaharakati mithili ya LHRC ...Mheshimiwa Rais aliwahi kutoa msisitizo kwa polisi juu ya nini cha kufanya wahalifu wenye silaha tena nzito(alisema hivi kwa kuwa alikuwa well informed) sasa wanatokea wanaharakati na kuanza kuingiza siasa....ndio maana leo hii nawaita waje kutetea askari wetu kama wanavyowatetea wahalifu.
Unajua kazi ya LHRC
 
Hiyo habari haina maslahi kwao, haiwaingizii pesa kutoka kwa wazungu(mabwana zao)
 
Soma hii hapa chini kutoka FB kisha jiulize kwa nini hili nalo hujauliza?

********
..nimesikiliza radio five ya arusha wakijadili tukio la kijana wa umri wa miaka 15 ameuwawa na askari wa SUMA JKT huko mkoani arush kwa kupigwa risasi nne.
ina daiwa huyu kijana alikuwa anaswaga ng'ombe wake watatu gafla akaona gari la hao wanajeshi akaanza kukimbia ndipo walipompiga risasi na kupoteza uhai pale pale.

#my take:
hata kama alikuwa anchunga ng'ombe kwenye hifadhi ya taifa je ni halali kumpiga risasi kijana mdogo kama huyo?
kulikuwa kuna haja gani ya kumpiga risasi nne mtoto mdogo kama huyo na huku wanajua fika kamwe kuna sheria za kufuatwa?
askari wetu wanekuwa na tabia y kujichukulia sheria mikononi.
nalaani huu upuuzi ulifanyika na hao askari wa suma jkt
Kitendo cha askari hao kumuua mtoto (kama kweli tukio hili lilikuwepo kama ulivyolieza) hakihalalishi 'majambazi' kuua askari wetu kwa namna ilivyotokea huko mkoani Pwani ama mahala popote katika nchi. Haikubaliki hata kidogo!!
Kwa post yako hii naanza kupata fununu ya kuwaelewa kuwa hamkufaa kabisa kupewa madara ya nchi hii. Na kwa kweli nadhani hamfai kabisa hata siku za karibuni kukabidhiwa nchi hii. Hamfai hata kidogo!!
===========
Kiukweli LHRC wanaupendeleo wa wazi kwa kuwapendelea 'majambazi wauaji' (ndiyo maana hawalaani mauaji ya polisi) na raia wakorofi (wasiofuta sheria za nchi kudai haki zao). Wakati huo huo wakikomalia makosa machache yanayofanywa na vyombo vya serikali vitimizapo majuku yake.
 
Pale ndio makao makuu ya Chadema, kwasasa wanapongezana kwa tukio lililowakuta polisi. Sasa subiri polisi wajibu mapigo watatoka pangoni.
 
Unajua kazi ya LHRC

Values: LHRC has a number of core values that guide the way the members, the board, staff and partners relate and operate. The values of the LHRC are:

i). Integrity; ii).Equality; iii).Transparency; iv).Accountability; v). Professionalism; and vi).Voluntarism and volunteerism.

Specific Objectives

i).Promote respect and observance of human rights and democracy;
ii).Promote respect and observance of the rule of law and due processes;
iii).Promote consumer protection;
iv).Create networks with public interest and human rights organisations, non-governmental organisations, universities, relevant research institutions, religious associations and legal associations’ societies;
v). Promote public awareness in the field of environmental protection;
vi).Provide (on request) consultancy services to government and non-governmental organizations provided that it is within the spirit of the social and educational objectives of the LHRC;
vii).Organize and sponsor conferences, seminars, workshops, meetings and such other undertakings with a view to promoting the social and educational objectives of the LHRC;
viii).Raise funds for the purposes of the LHRC on such terms as are compatible with the autonomy of the LHRC and within the spirit of its social and educational objectives;
ix).Publish articles and various publications on legal education, society and human rights.
x).PROVIDED that the objectives of the LHRC shall not extend to putting up or supporting candidates for government or local authority elections which would make it a political party within the meaning of a political party as stipulated in the Political Parties Act, 1992.
Human Rights
-----------------------
Nilini ulisikia hawa LHRC wanawashauri watanzania waliotaka kufanya kusanyiko bila kufuata taratibu (sheria) waliwaasa wasifanye hivyo, ama hata kwa kuwashauri watanzania wengine wasikubali kwenda kwenye mikusanyiko hiyo? Ni lini uniambie. Si wakati wa Operation sangara, Ukuta, migomo ya madaktari, nakadhalika...hakuna!! Kama ipo nikumbushe.
 
Wakitoa tamko lao ndiyo watafufuka? Halafu Wewe ni nani wa kuwapangia LHRC kutoa tamko? Umechangia nini katika uanzishwaji wa hiyo Taasisi? Hivi kwa mfano kama hao hao Police huwa na tabia ya kuwanyanyasa au kuwasumbua au hata kutumika vibaya dhidi ya LHRC unategemea kweli leo hii watoe tamko? Waswahili bhana!
Nilishakueleza siku za nyuma kuwa kwa sasa hausumbui kama zamani! Zamani ulikuwa msumbufu kweli. Jali sana maandishi yako kabla ya kuyabandika majukwaani. Maandishi yako yanasomwa na wengi.
 
Back
Top Bottom