Anaonekana kabisa kalazimishwa kumuombea kura Mgombea kwa tiketi ya CCM, moyono anahuzuni kubwa kwani anajua ya kwamba ametolewa mhanga na wenzake. Lakini hana la kufanya kwani akithubutu tu basi ujue awe tayari kufa, kufilisika au kukimbia nchi maisha yake yote ambayo wana kijani watakuwa...