Domy
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 4,700
- 1,090
Hiyo ngumi ilikua ya jichoni ama mdomoni?? kwahiyo Chairman kavimba jicho??
JF kuna Miku-mu ndu mingi,.....!
Hiyo ngumi ilikua ya jichoni ama mdomoni?? kwahiyo Chairman kavimba jicho??
Ndiyo maana zito haendi kwenye vikao vyao kumbe anajua kama hutoki kule kunakipigo.Ukanda ni dhulma kubwa, tatizo Mwenyekiti wa Arusha si Mtu wa kwao.
Namuonea huruma Samsoni Mwigamba, atafukuzwa chama kwa nini asingekuwa kama kina Mwita Maranya.
Ninvyoifahamu CHADEMA huyo adhabu yake inaweza kuwa "MAUTI"