Seif al islam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Seif al islam

Discussion in 'International Forum' started by MndemeF, Jun 6, 2012.

 1. M

  MndemeF Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Seif al Islam ni mtoto wa kiongozi wa Libya aliyepinduliwa. Kijana huyu alikamatwa na wapiganaji wa koo na kukabidhiwa kwa majeshi ya serikali ya mpito ya Libya. Tangu akamatwe kijana huyu takribani mwaka mmoja sasa hajafikishwa mahakamani wala kufunguliwa mashitaka. Anateswa sana gerezani kwa mfano wamemkata vidole vyake 3 vya mkono, anashikiliwa sehemu ya pekee bila hata kuonana na ndugu zake wala mwanasheria wake, anaumwa na wala hana nafasi ya kuonana na daktari na mateso mengi ambayo si yakibinadamu.

  Hivi hawa watetezi wa haki za binadamu mpo wapi? The Hague ipo kwa ajili ya nani? Inasikitisha sana. Seif ni mtuhumiwa tu bado hajatiwa hatiani na mahakama yoyote hivyo anastahili kuheshimiwa utu wake.
   
 2. kibol

  kibol JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 3,136
  Likes Received: 378
  Trophy Points: 180
  jamaa atakua anateseka sana sasa hivi gerezani,hawa wapigania haki za binadamu ni wale wale tu,whether no interests you wont found them there,ni nani wakumkumbuka saif al islam na kumsaidia?
   
 3. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kama kawekwa mahali haonani na ndugu wala mwanasheria wake,umejuaje kama kakatwa vidole na anaumwa?
   
 4. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mleta maada ni mjinga sana. Huwezi kujustfy kitu ambacho umesema hakuna mtu aliyeweza fika. Halafu huyo jamaa si ndiye aliyeuwa walibya kibao pia?
   
Loading...