mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,656
huh kumbe SIASA UCHWARA BADO TAMU anh???
Wa mbili havai moja. Na Igunga hakamati mtu asiyemtaka Rostam?
Wa mbili havai moja. Na Igunga hakamati mtu asiyemtaka Rostam?
Hiyo ndiyo tabia halisi ya makahaba. Sasa kama hata Chama cha siasa tena tawala kinaingia kwenye ukahaba wa siasa basi hamna kitu hapo.Nakubaliana na wewe FF, CCM ndiyo ilimkataa Rostam kwa kumwita gamba na kashfa nyingine za siasa uchwara mpaka akaamua kuachia ngazi, kwa mantiki hiyo CCM haitashinda Igunga kwa vile haimtaki Rostam bali ina taka fedha zake tu na yeye hilo analitambua, na hapo sasa ndiyo mtamjua RA kuwa ni bingwa kucheza karata tatu.