Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,718
- 1,443
Hayo maendeleo unayotaka watu wanzumzie ni yapi ? Hebu fafanua vyema
Mtabaki hivyo hivyo na vijiba vya roho. Ongeleeni barabara, shule, maji, hospital, demokrasia, kilimo, viwanda, umeme, ndio vitu vitakavyo kusaidia wewe na mimi na Mtanzania mwingine. Muoneshe katika hayo yote ni Rais yupi aliyefanya zaidi yake, halafu muoneshe yeye afanye nini kuongezea au kurahisisha hayo majukumu, na si nini anavaa. Watanzania watu wa ajabu sana badala ya kuongelea maendeleo mnaongelea mtu anavaa nini. Mnanshangaza jinsi vichwa vyenu vinavyofanya kazi!