Recent content by Mmasihiya

  1. Mmasihiya

    Msaada ugonjwa wa ngozi shingoni mwa mtoto

    Inawezekana ni pumu ya Ngozi jifunze kuhusu hilo hata huku jf wameliongelea nadhani, Ushauri hakikisha Hilo eneo haliwi na ukavu inashauriwa kupaka mafuta yasiyo na manukato hasa Vaseline blue seal original Mara kwa Mara, pia atumie sabuni zisizo na manukato zilikuwepo zile B29 nyeupe sijui...
  2. Mmasihiya

    Kiwanja kinauzwa mawelewele iringa 800 sq. Meta

    Kiwanja kinauzwa kipo eneo la mawelewele Iringa manispaa kimepimwa na kinafikika kwa barabara ya lami urefu ni 40m na upana 20m eneo la tambarare. Bei 28,000/= kwa meta moja ya mraba
  3. Mmasihiya

    Msaada: SMS ninazochat na mwanafunzi zimekamatwa

    Kama ana 30 akitoka ana 60 moja kwa moja anaenda psssf kucheki kama atapewa kiinua mgongo
  4. Mmasihiya

    Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Nimekupata kiongozi, msaada hapa nmesoma engine oil inayotakiwa kwa engine husika ni kati ya hizi 5W-30, 10W-30, 15W-40, 20W-50 kwa hali ya hewa ya Iringa ushauri wako ipi ni muafaka zaidi?
  5. Mmasihiya

    Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Je Gari ndogo kama imefika kilometa 250k 5W-40 ina madhara? na kama ina madhara na ndiyo ilikuwa inatumika ushauri wako ni upi kiongozi
  6. Mmasihiya

    Natafuta video clip ya Tangazo la Chai Jaba niwape wanangu kama cartoon

    Mimi naitwa jambo katikatii, mimi naitwa jambo ndogo
  7. Mmasihiya

    Nash MC ana elimu gani?

    Nadhani ni huyohuyo
  8. Mmasihiya

    vipele vidogo vidogo mikononi kwangu

    Ila pia kuna kitu Iringa wanaita msango au ndo mchango sijui jaribu kuwaonyesha wananchi wa kawaida hiyo aina ya vipele au pigia ndugu zako wa Iringa vijijini waulize kuhusu msango/mchango uone kama wenyewe watakupa dawa zake zinatokana na miti kabla haijapelekwa kiwandani kutengenezwa tena kuwa...
  9. Mmasihiya

    Nahitaji kununua TV ila sijui ipi ni bora zaidi na ni full HD

    Hivi kuna njia ya kugundua tv unayonunua ni og labda kupitia online hasa kwa hizi brand kubwa maana unaweza kujiaminisha kwa kununua kwenye maduka makubwa nao wakawa "wajanja" Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Mmasihiya

    INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Nijalie bei ya brand new flat led tv 32" na 40" samsung kipaumbele Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Mmasihiya

    Kuvaa saa mkono wa kulia

    Mi navaa mkono w kulia kwa sababu ndo uko shapu kugeuka kuliko wa kushoto Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Mmasihiya

    Serikali yangu naomba utafute walimu wenye division One na two ndio wafundishe shule zetu

    Nakunukuu "Mimi ningelikuwa mwalimu wa serikali mwanafunzi wangu asingepata F" Kwa hiyo kumbe wewe ni mwalimu? Ambaye hujui hata matumizi sahihi ya 'r' na 'l'! Maelezo yote uliyotoa mwenye akili angeweza kuandika mistari 10 na kueleweka. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mmasihiya

    Uzi wangu wa maswali umefutwa,uliza hapa sasa,naajibu nayokumbuka

    Swali la jumla kwa dini zote nmeona kwenye masuala ya ndoa wenza wa dini tofauti kukubaliana mmoja kufata dini ya mwenzake, hivi ni jambo la afya kuingia dini fulani kwa sababu ya ndoa na sio kusukumwa zaidi na misingi ya dini husika? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Mmasihiya

    Sikio lake limeziba msaada tafadhari

    Augue pole, kwa Dsm najua ma dr wanapatikana kirahisi Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Mmasihiya

    Sikio lake limeziba msaada tafadhari

    Uko mkoa gani? Nenda kwa ma dr wataalamu wa pua,sikio na koo nadhan maarufu kama ENT Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom