kingjohn255
Senior Member
- Joined
- Oct 4, 2018
- Messages
- 146
- Points
- 225
Kinachoshauliwa kwenye gari tumia engine oil ambavyo iko recommended na watengenezaji hata kama gari itafikia km 300000 tumia oil iliyoshauliwa kinachobadilika hapa ni mda wa kumwaga oil tu kwa wakati na kuweka mpya: naomba nieleweke vizuri ni kumwaga oil na kuweka mpya na sio kuongezea oil maana kuna watu nawauzia oil hivyo hivyo ukimshauri amwage yey atakwambia imepungua kidog nataka ya kujazia tu hilo ni kosa kubwa sana unaua engine yako bila wewe mwenyewe kujijuaJe Gari ndogo kama imefika kilometa 250k 5W-40 ina madhara? na kama ina madhara na ndiyo ilikuwa inatumika ushauri wako ni upi kiongozi