Nahitaji kununua TV ila sijui ipi ni bora zaidi na ni full HD

Tafuta "SAMSUNG SMART TV" " OLG SMART TV" " TCL SMART TV" " SONY SMART TV" Kama unataka ubora wa picha na Intanet, facebook,twitter. Yoetube pia zina uwezo wa kuunganisha Home Wife kupata internet. IPT TV Online tafuta tv hizo zina Browser ndani ni zaidi ya tv Mzee baba pia picha ni ngavu sana.
Of which I am using a TCL Smart TV na nainjoy FTA lukuki!
 
Lg na samsung(series9) ndio bora kwa sasa kwa TV, ila kigezo kingine ni 4k ,hiyo 4k ni ubora wa quality ya picha,kwahiyo hiyo 4k ni zaidi ya full HD,na pia iwe smart tv. kwa ushauri wangu kama unahela nunua LG ,halafu angalia kama ni smart tv na iwe ni 4k na sio full Hd.kweye full Hd tumesha ama tupo kwenye 4K
Hiyo 4K ni sawa na mtu anayenunua simu ya 5G
 
TCL ni 450K- 500K kwa sasa unakwarua smart ya 32" huku ile ya 49" ni 1.2M ninayo.

Za 650K-700K ni Samsung, Sony & LG 32" ila si smart. Smart zao za 43" ni kati ya 850K-1M.

Smart 4K za Sony, Samsung na LG 49" zote ni kati ya 1.4M-1.7M

Za 55" ni kuanzia 1.8M mpaka 2.2M kwa wote kasoro TCL 4K ndio waweza ipata chini kidogo kwa 1.5M

NB: Hizi bei ni current!!!
Mkuu tcl ubora wake unazofikia lg na samsung?
 
Hivi kuna njia ya kugundua tv unayonunua ni og labda kupitia online hasa kwa hizi brand kubwa maana unaweza kujiaminisha kwa kununua kwenye maduka makubwa nao wakawa "wajanja"

Sent using Jamii Forums mobile app
Njia ya kupata TV OG ni kununua brands ambazo ziko reputable na hupatikana kwa uchache sokoni. Kwa brand kama LG na Samsung zilivyo nyingi ngumu sana kupata OG zake mkuu labda uwe unanunua toleo jipya likitoka tu.
 
Star X nina miaka naitumia na iko vizuri sana, sasa nyie mnataka Tv gani? Star x nch 40 au 32 una enjoy. HD FULL .

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Njia ya kupata TV OG ni kununua brands ambazo ziko reputable na hupatikana kwa uchache sokoni. Kwa brand kama LG na Samsung zilivyo nyingi ngumu sana kupata OG zake mkuu labda uwe unanunua toleo jipya likitoka tu.
Nimekutana na Samsung zilizotengenezwa South Africa; je ndio mnazosema ni fake? Zinatofautiana ubora na zinazotoka South Korea? Hata lg nimeona nyingine zinatoka Egypt!!! Sijapata maekezo ya kutosha kuhusu tofauti ya zile zinazotoka south Korea na zinazotengenezwa kwa mataifa mengine.
.... Msaada tafadhali.
 
Hata simu za samsung sio zote zinatengenezwa korea, kuna wana plants zao vietnum, india, south Afrika nk.

Ubora unakuwa ule ule ila features na model pengine huwa tofauti kwa sababu ya dedication ya production.

Unaweza kuta saizi tuseme imetoka samsung M20, M30 nk. Hzi zikawa dedicated kuzalishwa na plant labda ya vietnam na India tu.

Model flan ya Tv wanalenga iwe model ya Africa ikazalishwa S.A na Egypt plants tu.

So inategemea na soko wanalenga na model, pia jua sio kila model inaenda dunia nzima. Kuna model yaweza kuwa ya ulaya tu, au kusini mwa amerika au Asia. Hapa bila shaka wataangalia sasa plant ilio karibu na soko lengwa kwa model husika.

Mara nyingi, plant ya korea inazalisha Device za nyumbani kwao, marekani na ulaya.

Vietnam na brazil wanazalisha kwa soko la amerika kusini, Asia, na Afrika

Dumelang
 
Nimekutana na Samsung zilizotengenezwa South Africa; je ndio mnazosema ni fake? Zinatofautiana ubora na zinazotoka South Korea? Hata lg nimeona nyingine zinatoka Egypt!!! Sijapata maekezo ya kutosha kuhusu tofauti ya zile zinazotoka south Korea na zinazotengenezwa kwa mataifa mengine.
.... Msaada tafadhali.
Zinatengenezwa South Africa ili ziwe jirani na masoko pia iwe rahisi kupata cheap labour ila TV ni ile ile. Japo kuna uvumi kuwa huwa wana compromise build quality ila sijawaha na uhakika sana. Wanadai for European Market zinakuwa tofauti na for African Market
 
TCL, LG, SAMSUNG ama SONY. Inategemea na mfuko wako uko imara kiasi gani.

Kama uchumi wako ni alijojo basi kuna Soyi, Mr.UK, Singsung,Aborder,Solistar,Rising,bruhm n.k. Haya ni makampuni yaliopo level za tecno,itel,xytel katika nyanja za TV.
Jamaa umenichekesha sana unataka niitafutie mteja Mr UK yangu wakati haina matatizo

Never say never
 
Back
Top Bottom