Recent content by Mlimazunzu

  1. Mlimazunzu

    JamiiForums Tanzania Bidhaa hizi bado zinapatikana Tanzania?

    Nimekumbuka Zazuu kuna sister yangu alikuwa anapenda sana. wasichana walikuwa wachoma nywele jamani enzi za zamani ilikuwa hakuna mambo ya relaxer sijui na vitu gani vingine vile
  2. Mlimazunzu

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa

    Ni kweli kabisa mkubwa
  3. Mlimazunzu

    JamiiForums Tanzania "Kwa kuwa umepata ulichokuwa unakitaka"

    Unamwambia nilichokuwa nataka nimekipata kwa hiyo shughuli imeishia hapa
  4. Mlimazunzu

    JamiiForums Tanzania Usiku mwema Mpenzi mi nalala

    Hiyo ngumu kumeza mkubwa
  5. Mlimazunzu

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ndogo!

    Umepondwa umegeuza somo ukome
  6. Mlimazunzu

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa wapi siku zote...? Eh...?!

    Watu wengine huuliza lakini kwa sasa huwezi kuuliza maufundi yamejaa kwenye mitandao kibao kama hapa
  7. Mlimazunzu

    JamiiForums Tanzania Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

    Aibu tupu
  8. Mlimazunzu

    JamiiForums Tanzania mama wa kambo ni mama lakini!?!!!!

    Huyo Mama amekosa Mwanaume mwambie aje kwangu nimtie adabu hilo pepo la ngono litamtoka
  9. Mlimazunzu

    JamiiForums Tanzania Nioe mke mwingine?

    Inawezekana
  10. Mlimazunzu

    JamiiForums Tanzania Hii Imekaaje??

    Huyu mwanamke naye kama kicheche wanaume tofauti tofauti aoni hata aibu kuropoka kwenye daladala
  11. Mlimazunzu

    JamiiForums Tanzania Nioe mke mwingine?

    Wewe lazima utakuwa mtani wangu ngumi, mtama na kumtandika umekuwa bondia wanawake hawapigwi siku hizi
  12. Mlimazunzu

    JamiiForums Tanzania Nioe mke mwingine?

    Nimekusoma sawasawa Mkubwa pole kama nilikukwaza kwa post yangu
  13. Mlimazunzu

    JamiiForums Tanzania Maswali na Majibu Bungeni 14 Juni 2011

    Hivi kuna zawadi kuanzisha thread?? Maana naona haina mshiko kabisa hii thread yako swali gani sasa hili
  14. Mlimazunzu

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wa JamiiForums wanachakachulika?

    Ngoja waone hapa wenyewe
  15. Mlimazunzu

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wa JamiiForums wanachakachulika?

    Mkuu umepiga Ikulu mtu utavutiwaje na avatar au comment ya mtu?? Na ID nashangaa sana but I don't like kuwa na mwanamke zaidi ya my wife
Back
Top Bottom