Maswali na Majibu Bungeni 14 Juni 2011

Wizara ya Fedha: Swali la Mwisho

Kuna sababu gani ya kuwa na TRA Zanzibar wakati kuna ZRA Swali linaulizwa na Sanya Kutoka Mji mkongwe
 
Kwa Mujibu wa katiba ya Muungano mambo ya Muungano yanasimamiwa na Taasisi za Kimuungano

TRA inakuasanya Kosdi za Muungano

Kodi nyingine ambazo si za Muungano IKIWAMO VAT na ushuru wa Stamp zinakusanywa na ZRA

ZRB ipo katika mchakato wa kuangalia uwezekano wa kupewa Jukumu la kukusanya kodi zote za Muungano
 
Swali la Nyongeza:

Lini serikali itamailiza mchakato wake ili kuipa ZRA mamlaka kamili y kufanya jukumu hilo

Swali la pili: Je akaunti ya fedha za pamoja ya jamhuri ya Muungano ishafunguliwa, na kama bado kwa nini

Majibu:

Lazima ZRB wapimwe kwa mapana, siwezi kusema lini zoezi litakamilika na nisuala la Kikatiba wala halina mgogoro...Wazanzibari waendelee kuwa wapole

Akaunti haijafunguliwa, kwa sababu inatakiwa kusimamia fedha za gharama na mapato ya Muungano, Mtaalam muelekezi bado anafanya upembuzi na itakapkamilika akaunti itafunguliwa

Kipindi cha Maswali na Majibu kimekwisha

Ratiba ya shughuli za leo inatolewa

AM OFF Tutakutana katika muendelezo wa mjadala wa Rasimu ya Mpango wa Maendeleo
 
Muongozo wa Spika

Mbowe karejea Tena nahoji kuhusu upungufu mkubwa wa Majibu ya Naibu waziri alipouulizia kuhusu ubovu wa Mkataba wa KIA

Sikiliza mambo hayo
 
Mbowe: Waziri kadanganya, Je Waziri atakubali kulifuta jibu lake ambalo lina upotoshaji: Soma majibu hapo juu

Spika: Kamuomba Mh. Mbowe alete maelezo yake kwa maandishi ili kuomba ufafanuzi zaidi
Mama anakumbushia sekeseke la jana kuwa utaratibu wa kuomba muongozo wa Spika unatakiwa kufanyika kama alivyofanya leo MH.MBOWE

Hivyo amewaomba Wabunge wasijidharau na kuwa kama watu wa Kariakoo(anatafuta matatizo mengine hapa mama)

anasema hakuwa hata na hamu ya kuangalia jana kwa jinsi wabunge walivyobehave hapo jana jioni

Kw hiyo kamuomba Mbowe aandike maelezo yake vema yafanyiwe kazi.

Bunge linakaa kama kamati ya Mipango
 
Je ni sahihi kwa Spika wa Bunge kutumia mfano wa Wajasiriamalim wa Kariakoo kama watu wasiokuwa na Ustaarabu na mipango katika kujadili mambo kama walivyokuwa wabunge hapo jana katika kuchangia Mpango wa Maendeleo 2011/12 - 2015/2016.

Katika hali isiyokuwa ya kawaida hapo jana Jioni wabunge walitawaliwa na miongozo ya mara kwa mara hali ambayo iliamsha hisia na mkanganyiko wa mabo wakati mwingine huku MIC nyingi mjengoni zikiwa ON na sauti za lugha za vijembe zikisikika LIVE.

Hatua hii ya Spika inafuatia utaratibu mzuri alioutumia asubuhi hii Mh. mbowe ya Kuuliza muungozo baada ya kipindi cha Maswali na majibu kukamilika

Mh Mbowe aliomba kupewa Muongozo kufuatia Majibu ya Naibu Waziri ambayo alisema alidanganya katika ufafanuzi wake kuhusu mkataba wa Uwanja wa Ndege wa KIA

Spika: Kamuomba Mh. Mbowe alete maelezo yake kwa maandishi ili kuomba ufafanuzi zaidi

Na ndipo Mama akakumbushia sekeseke la jana kuwa utaratibu wa kuomba muongozo wa Spika unatakiwa kufanyika kama alivyofanya leo MH.MBOWE

Hivyo amewaomba Wabunge wasijidharau na kuwa kama watu wa Kariakoo

anasema hakuwa hata na hamu ya kuangalia kupitia luninga hapo jana kwa jinsi wabunge walivyobehave jioni hiyo
 
Aksante kwa updates!
 
Nadhani umeongea too soon; kwa wachangiaji wote wa leo Sugu ndio ametoa hoja zenye mshiko kuliko mtu yeyote
 
Mh Sugu analumbana na sijui mbunge gani anayejitafutia umaarufu
 
Hivi kuna zawadi kuanzisha thread?? Maana naona haina mshiko kabisa hii thread yako swali gani sasa hili
 
Wanaenda sosi sasa,thus baadaye mjadala utaendelea,spika huyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo;
 
Back
Top Bottom