Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa

Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa

Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa – jamani hii title imeanza kupunguza uzito wake hapa love connect…. Hili ni jamvi la love connect but inaonekan sasa kama vile linakua la people connect… Wanaosaka wapenzi wanatangaza kama vile wanatafuta product…Jamani kwa wale ambao wako serious kutafuta wachumba awe wakike au wa kiume walau basi kuweni serious na post mnazotuma kuonesha ni kweli unahitaji huyo mtu…

Tips kabla hujatuma

  • Eleza sifa zako za nje na ndani zikihusisha vitu kama umri, umbo, dini, upendavyo (walau hints), kazi na hata uraia naona pia unamata.
  • Hakikisha hizo sifa ulizotaja za unae muhitaji na wewe pia umeainisha zako.
  • Kama yupo JF pleeeeeeeeease m-PM mana hamna haja ya kutupa wote faida otherwise kama mnatualika harusi…
  • Toa contacts walau e-mail address mana CM utakua umepalia makaa..
  • Unapotuma thread onesha basi you mean it maana kama ni utani it is better ikiwa jukwaa la jokes…
Na mengineyo ya muhimu…

Great! At least huenda ikarekebisha wale wanaoleta mzaha. Members, you
have to be serious.
 
kuna watu hawajielew wanaona kila kitu ni uhuni
vp umepata lkn????/
 
Sikuwahi kuona hii thread kwa sababu si mdau wa hayo mambo mambo,

Ila nilivutiwa na tangazo la Da Asha (.. AshaDii..) na kutaka kujua kulikoni...

Naomba niseme ukweli kuwa hujatutendea haki.....nilikuwa tayari naandaa mistari ili nitume maombi...

Potelea mbali, nilihisi kama vile siku ya kupoteza udhu wangu imefika.....lol!!

Next time usiturushe roho Da Asha, ...sawa?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Sikuwahi kuona hii thread kwa sababu si mdau wa hayo mambo mambo,

Ila nilivutiwa na tangazo la Da Asha (@AshaDii) na kutaka kujua kulikoni...

Naomba niseme ukweli kuwa hujatutendea haki.....nilikuwa tayari naandaa mistari ili nitume maombi...

Potelea mbali, nilihisi kama vile siku ya kupoza udhu wangu imefika.....lol!!

Next time usiturushe roho Da Asha, ...sawa?

Babu DC!!

hahahahah mzee mwenzangu hata wewe
 
Sasa mbona unanicheka mzee mwenzangu?

Huyu AshaDii hajatutendea haki wakubwa wenzie....

Asipokuja hapa kurekebisha lugha nitafungua kesi ICT...

Babu DC!!

Kaka DC mie nilivyo muoga wa case... tena ICT, rite here kujibu shutuma thou wanisingizia hata sistahili... Lol. Sio wewe ulisema kuwa madade DC atabaki peke yake hata mpango wa kando ulisha staafu? Hizi lawama za nini sasa? :becky:
 
mbona hukujibu kwa nini umeturusha roho?

kuhusu babu na nadhiri zake, ndo maana nikasema kuwa tangazo lako linaweza kumfanya babu apoteze udhu bila kuangalia nyuma.

Ulitikiria nini hadi ukatutenda kiasi hicho?

Babu DC
 
Kumbe nimekurusha roho kiasi hicho mzee DC? Ha ha ha! Sikujua aisee... Mie haikuwa niya yangu, yangu ilikuwa kutoa ushauri, after all heading yajieleza kabisa kuoa/kuolewa. How can I do yote mawili at par? Mie naona tu umejirusha mwenyewe... Lol. :whistle:
 
Mi napendekeza, hii iwe club ndani ya club.
Nyie akina Invisible, tengenezeni kitu fulani rasmi ili iwepo heshima.
Watu wajiandikishe rasmi na kuingia na password katika club hii.
Hii itazuia wadandiaji wa mambo
Iwe kwa watafuta wachumba serious tu,
Ukiacha kumchambua mtu unalambwa bakora palepale.
 
Serious natafuta
mchumba wa kike
(19-25) sibagui dini wala kabila. Tuwasiliane kupitia mail:jcarts67@gmail.com
 
Asha dii na Madame B kuna nn , mbona mnazidi kunichanganya kichwa?:confused2::confused2::confused2::confused2: mm siwaelewi kabisaaaaaaaaaa! Kuna nini????
 
Asha dii na Madame B kuna nn , mbona mnazidi kunichanganya kichwa?:confused2::confused2::confused2::confused2: mm siwaelewi kabisaaaaaaaaaa! Kuna nini????

Lisa mpendwa, soma bandiko langu vizuri... Mie ninae nilomshiba tayari, hii ilikuwa ushauri kwa watafuta love...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom