Kandambili za Bora,chupa za kiwanda cha Kioo Ltd.
Duh! Haya mafuta yalikuwa kwenye mkebe fulani hivi
Wakati nasoma kulikuwa naviatu fulani hivi visigino virefu vipana, vyaitwa Mwaka wa watoto
Chachacha, wakati wa jua kali chamoto unakiona
Enzi hizo no salon, wakati wa sikukuu nywele zinazomwa kwa kutumia kigae
Hivi zazuu iliishia wapi? Jamani tunatoka mbali