Hii Imekaaje?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii Imekaaje??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Katavi, Jun 15, 2011.

 1. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Nipo kwenye daladala kuna mama anaongea na simu. Inaonyesha kazaa na wanaume watatu tofauti na huyu mwanaume wa mwisho inaonekana hatoi matunzo kwa mtoto wake. Sasa katika maongezi ya simu huyo mwanaume anaporomoshewa matusi ya nguoni hadi abiria wengine, hasa wa kiume tumeinamisha vichwa vyetu kwa aibu. Sentensi moja aliyoongea na nimevutiwa nayo ni hii:-
  "we ni mwanaume gani ambae hujali mtoto, WANAUME wote niliozaa nao wanajali watoto wao, wa kwanza kamsomesha mwanae hivi sasa yupo form two, wa pili nae anamsomesha na anatoa matunzo na mtoto yupo darasa la sita, Ms.....(tusi) wewe mtoto wako hata chekechea unashindwa kumpeleka"
  Akamaliza kwa kusema "Najuta kuzaa na wewe".
   
 2. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  .......lol gume gume limekutana na kikekwerekwe..............
  kazi mtindo mmoja!!!!!!
   
 3. LD

  LD JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Katoa lake la moyoni, limwanaume linalopanda Mbegu mahali halafu halikumbuki kulea na kusomesha mtoto wake hata mimi silipendi kabisa. Tena nalifikiria kama angekuwa yy ndo mwanamke huyo mtoto angemuua. Sasa huyo anatofauti gani na mbwa? Mbwa ataacha mbegu mahali wala hatarudi kujua kama kuna kilichozaliwa kutokana na mbegu zake. Ndio huyo mama kamwambia kile kinachomuuma. Crap huyo mwanaume.
   
 4. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  Busara ni bora kuliko dhahabu na shaba!!
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Dahhhhh
  Dala dala yatoka wapi na kwenda wapi?
  Nataka kuipanda kesho.. yaonekana
  kuna sinema.za bure..

  .... nway
  Ni sawa yeye kumtuna lakini
  Hiyo sentence ya mwisho ...
  Tangu lini unajutia matokeo kama hayo
  Yaelekea hakubakwa ni alijitakia..
  Wa kwanza, wa pili, wa tatu khaaaaaa
  Saa nyingine tumezidi kunyanyua magauni
  Yetu hovyo..
   
 6. semango

  semango JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  janamke la namna hii hata ukiwa unalengo la kumsomesha mtoto lazima utaingia mitini tu.
   
 7. Mlimazunzu

  Mlimazunzu JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 420
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu mwanamke naye kama kicheche wanaume tofauti tofauti aoni hata aibu kuropoka kwenye daladala
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Jun 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Mimi hapo ndio nilichoka kabisa...
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Jun 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Huenda ndio maana wanaume wote aliokuwa nao wamemkimbia!
   
 10. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,711
  Trophy Points: 280
  mwanamke alikosa busara kulikuwa na haja gani kuzungumzia upumbavu wake kwenye daladala............au ndio alikuwa anataka kujionyesha yeye ni kiwanda cha kuzalisha.............huyo mwanaume anamakosa ya kutimiza wajibu wake lakini namna huyo mwanamke anaongea itakuwa vigumu kwa huyo baba kurudi nyuma....... na nyie kina baba ukijua una mahali uliacha mbegu wajibika
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Jun 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli yule mama kwa muonekano wake tu anaonekana hana maadili
   
 12. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #12
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Dah! hiyo kali,
  Huyo mama hajatumia busara hayo sio mambo ya kuongelea kwenye daradara,
  Kwa upande wa pili ndo dawa yenu wanaume ambao mnazaa tu hamjui mtoto anaishi vip anakula nini, analala wapi, anavaa nini na hata shule anaenda vip?
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Jun 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo nawe unaweza kufanya kama huyo mama?
   
 14. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #14
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mi binafsi siwezi kufanya hivyo,
  Huyo ni mzazi wangu nitamuita nimueleze tukiwa wawili kwani ni mtoto wetu sote tunatakiwa tumulee wote tukisaidiana na si kumpigia simu mbele za watu hasa kwenye daladala kwani nawapa faida watu sio mambo yote ya kuongea mbele za watu
   
 15. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #15
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Ilo basi ni Darisilama tu!!
   
 16. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #16
  Jun 15, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135

  Hizo bold hizo nimezipenda sometimes wababa nanyi mmezidi, mtu unamkuta anauwezo mzuri tu na anajua fika mtoto ni wake lakini kumtunza mpaka mshikane mashati.

  Tukirudi kwa wadada kuzaa zaa hovyo zi vizuri kwani mi naamini mwanamke ukiamua usizae hata kwa nyundo huzai, saa nyingine wadada wanategeza kabisa mimba halafu mbaba akisepa mnaanza kulalamika. Zaa na yule anaehitaji mtoto ili hata ukilalamika uwe na haki ya kufanya hivyo.
   
 17. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #17
  Jun 15, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Hahaha umeona ee, wa huku vijijini hizo dala dala tunaziona kwa nadra ni mwendo wa kula zoezi la mguu tu kama huna gari
   
 18. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #18
  Jun 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ndio!!
   
 19. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #19
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Mpenzi alafu sisi wahuku kijijini mtoto wa baba mwingine anakua ndani ya ndoa wakiwa 10
  wanne wa nje na Mr hajui alafu maskini unakuta mtoto kipenzi wa mwingine...
  enways ngoja nipande kilimani baba wa mtoto wa saba ananipigia....lol
   
 20. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #20
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Is a woman something to pick and use? Or something to struggle for and win? Or someone who may select?
   
Loading...