Yani acha tu Mzee baba, kuna watu nimeshakutana nao wanatafuta Wale wadudu wanaowaka waka Usiku, wakaniambia hata kama nikipata tani 30 wao wananunua, niwaangalia kwa uchungu na sikuwamaliza, nadhani watakua wameshatajirika
Kuna ubaya gani,kwani walianza kuvuta bangi vijana wa sasa tu? Wengine humu ni matapeli ya kutupwa na kuiba sadaka za waumini,hawa ndo mna ona wataishia pazuri sio?
Story nzuri sana ila nimecheka sana pale bwana Alex alipopata stim ya Bangi na kuwapita kama kishada then yeye mwenyewe kurudishwa mzobemzobe dah! Its inspirational lazima nitumize ndoto hii
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.