Utaratibu wa Ushuru wa maegesho mijini, TARURA mnavuna msichopanda

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Tunakoelekea wakusanya Tozo za parking mijini -TARURA; wataanza kucharge hadi kwenye foleni barabarani maana;
  • Sasa hivi ukisimama tu na gari hata kabla hujashuka, tayari wanakuandikia parking; wakati sheria inataka parking itozwe kwa muda usiopungua dk30,
  • Magari marefu centers wanayapark mbele ya maduka hadi wateja wanashindwa kuuona mlango wa Duka
  • Maegesho ya parking yanajengwa na wengine halafu TARURA wanachukua tozo za parking mahala ambapo hawakujenga wala kuchangia hata tone la shillingi
Tunakoelekea wataanza kutoza hadi kwenye foleni.

Kiufupi hawa jamaa wanavuna wasichopanda.
Tena sasa hivi wanakula dili na watu Mara mbili mbili, Anayekupokea kukuelekeza parking anaomba umtoe, TARURA nae anaomba umtoe yaani Tafrani tupu

Updates
Ikumbukwe kila Gari inalipia road licence!

Haya malipo ya parking ni kukosa ubunifu, hii ni kero nyingine imehamia huku, tunatozana hadi misikitini na hospitalini kweli? tena parking hamkujengewa nyie, walijenga wengine
 
Acha kujibu kama mtoto mdogo we andazi,umeelewa logic ya jamaa au? Kwani unadhani pesa ya maegesho ndo inayoenda kwenye kujenga roads?

Logic yake ni ipi?hamna mtu wa parking anayeweza kuweka risiti kwenye kioo kama bado dereva yupo kwenye gari, mpaka zipite dk. 5, na hiyo anayosema mpaka dk 30 tangu apaki ndio risiti itolewe ameitoa wapi?wakati risiti inachajiwa kila baada ya saa moja?

Wewe nae ni kilaza tuu, unadhani pesa ya kujenga barabara za tarura anatoa baba yako mfukoni kwake?andazi wewe
 
We bila shaka huna gari. Ungekuwa nalo na ukakutana na upuuzi wa hawa watu usingeandika upuuzi huu. Kuna mama aliniandikia rist saa 10 siku ya jumamosi ...

Ninalo gari sema baadhi yenu mnapemda mteremko sana, kila kitu kiwe free
 
Hujui usemalo wewe kilazeri, tena tarura ni wezi, niliandokiwa risiti ya soku nzima muda wa saa 9 wakati yamebaki masaa 2 siku iishe, jana nimepiga brek hata sina mpango wa kushuka tayari wamejaa mlangoni na mashine zao kuandila risti
Logic yake ni ipi?hamna mtu wa parking anayeweza kuweka risiti kwenye kioo kama bado dereva yupo kwenye gari, mpaka zipite dk. 5, na hiyo anayosema mpaka dk 30 tangu apaki ndio risiti itolewe ameitoa wapi?wakati risiti inachajiwa kila baada ya saa moja?

Wewe nae ni kilaza tuu, unadhani pesa ya kujenga barabara za tarura anatoa baba yako mfukoni kwake?andazi wewe
 
Hujui usemalo wewe kilazeri, tena tarura ni wezi, niliandokiwa risiti ya soku nzima muda wa saa 9 wakati yamebaki masaa 2 siku iishe, jana nimepiga brek hata sina mpango wa kushuka tayari wamejaa mlangoni na mashine zao kuandila risti
hao jamaa wazushi sana
 
Logic yake ni ipi?hamna mtu wa parking anayeweza kuweka risiti kwenye kioo kama bado dereva yupo kwenye gari, mpaka zipite dk. 5, na hiyo anayosema mpaka dk 30 tangu apaki ndio risiti itolewe ameitoa wapi?wakati risiti inachajiwa kila baada ya saa moja?

Wewe nae ni kilaza tuu, unadhani pesa ya kujenga barabara za tarura anatoa baba yako mfukoni kwake?andazi wewe
Mkuu usiwe mbishi hivyo
 
Unaonyesha wewe ni mtu wa TARURA
 
Tunakoelekea wakusanya Tozo za parking mijini -TARURA; wataanza kucharge hadi kwenye foleni barabarani maana;
  • Sasa hivi ukisimama tu na gari hata kabla hujashuka, tayari wanakuandikia parking; wakati sheria inataka parking itozwe kwa muda usiopungua dk30,
  • Magari marefu centers wanayapark mbele ya maduka hadi wateja wanashindwa kuuona mlango wa Duka
  • Maegesho ya parking yanajengwa na wengine halafu TARURA wanachukua tozo za parking mahala ambapo hawakujenga wala kuchangia hata tone la shillingi
Tunakoelekea wataanza kutoza hadi kwenye foleni.

Kiufupi hawa jamaa wanavuna wasichopanda.
Tena sasa hivi wanakula dili na watu Mara mbili mbili, Anayekupokea kukuelekeza parking anaomba umtoe, TARURA nae anaomba umtoe yaani Tafrani tupu
Siku hizi wanaingia mpaka vichochoroni, kwenye ma bar, hospitalini nk kutoza ushuru wakati barabara nyingi ni mbovu sana. Juzi tulipeleka mgonjwa kwenye hospitali ya mama ngoma, kabla mgonjwa hajatelemshwa wao tiyari wao wameweka risiti kwenye gari
 
Siku hizi wanaingia mpaka vichochoroni, kwenye mambo bar, hospitalini nk kutoza ushuru wakati barabara nyingi ni mbovu sana. Juzi kulipeleka mgonjwa kwenye hospitali ya mama ngoma, kabla mgonjwa hajatelemshwa wao tiyari wao wameweka risiti kwenye gari
Daah kama ni kweli hii kali
 
Hakuna ujinga kama kucharge parking fee kwenye mahospitali hali gari zimeleta wagonjwa na wanasubiria huduma kutwa mzins
 
Back
Top Bottom