Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,639
- Thread starter
- #41
SEHEMU YA 33
Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale sharobaro Nelly aliyekuwa amefika Keko Bora na kumpigia simu Atu na kumweleza alikuwa pale ndipo msichana huyo alimwambia atangulie kwenye gesti waliyokutana siku ya kwanza. Je, kilifuatia nini? Songa mbele na utamu huu…
Sharobaro Nelly alipoambiwa hivyo, aliachia tabasamu kwani alikuwa na uhakika wa asilimia mia moja kwamba siku hiyo angemchinjia mtu baharini.
Alipofika pale gesti hakutaka kusubiri, alichukua rumu kabisa kisha alimwomba mhudumu ampelee bia mbili, akavua shati, suruali na kubaki na boksa pekee akawa anamsubiri Atu.
“Huyu kiumbe akifika tu baada ya salamu jambo la kwanza nikumpatia mkomboti ndiyo mambo mengine yatafuata, nataka mpaka tutakapoachana niwe nimempa mikomboti miwili au mitatu,” Nelly aliwaza.
Hakumaliza hata dakika kumi na tano simu yake iliita alipoangalia mpigaji alikuwa ni Atu akapokea na kumwelekeza amuulize mhudumu amuoneshe namba ya chimbo alilokuwepo.
“Oke mpenzi wangu,” Atu alimwambia Nelly.
Ile kijana huyo mpenda mademu wazuri anaweka glasi iliyokuwa na pombe juu ya meza iliyokuwa mle chumbani akasikia mtu akigonga, akamfungulia na mtoto Atu aliyekuwa kapendeza akaingia.
Atu alipoingia alianza kucheka baada ya kumuona Nelly akiwa na boksa pekee huku mkuu wake wa kaya akiwa kachangamka, akajisemea moyoni; ‘Leo hapa ni kazi tu!”
Nelly hakutaka kusubiri, alimkumbatia na kumpiga mabusu kadhaa ya fasta midomoni, shavuni na masikioni, kufuatia msichana huyo kufanyiwa hivyo na kwa vile alimuona mkuu wa kaya wa Nelly alivyochangamka mwili ukamsisimka si kidogo.
Wawili hao, kwa dakika kadhaa walisahau kabisa shida za Bongo yetu wakawa wanakula tu denda a.k.a mua huku wakishikana maeneo mbalimbali ya miili yao hasa yale yenye shoti ya umeme.
Kama unavyofahamu joto linapopanda kwa watu ambao wapo sehemu ambayo ni salama kwao kufanya chochote bila kubughudhiwa na mtu zaidi ya kumchukiza tu mola wao, Nelly na Atu si wakajikuta wapo kama walivyokuja duniani.
Nelly alipomtazama binti wa watu akiwa kalegea na kamtumbulia macho huku akihema, akaona akimchelewesha bila kumpa haki yake itakuwa dhambi kubwa, sijui alimbinuaje bwana, Atu akaanza kutoa ushirikiano huku akilia kwa raha.
Rigwaride lilichezwa kwa kila mmoja kuhakikisha anamfurahisha mwenzake, wa kwanza kupeperusha bendera ya ushindi alikuwa Atu ndipo mzee mzima akalishusha kombora lake lenye ujazo wa kutosha lililomlegeza kabisa Atu.
Baada ya wawili hao kumaliza awamu hiyo ya kwanza walipeana asante na kwenda kuoga ndipo Nelly alimuagizia Atu kilevi alichotumia, akamwita mtu wa jikoni na kuagiza michemsho ya kuku miwili ili warudishe damu zao.
Nelly na Atu walikunywa bia na walipomaliza kula mchemsho wa kuku, si wakaanza tena vimichezo vyao vya chumbani zaidi, miili yao ilipopata joto jamaa akamkwangua tena, awamu hiyo aliunganisha mashuti mawili ya dabodabo.
Walitoka pale saa tatu na nusu wakiwa hoi kwa kibarua walichokuwanacho na ulevi, Nelly alimpatia Atu teni moja, wakapanga kukutana tena wikiendi iliyofuata kisha kila mmoja akatoka kivyake.
Kama kawaida, ili kuficha harufu ya pombe Nelly alipofika gengeni kwa Chinga akanunua tango na ndizi mbivu akala na kuelekea kwao ambapo aliwakuta wazazi wake wakiwa wanaangalia runinga.
Kwa vile hakujiamini aliwasalimia na kuunga chumbani kwake alikobadili nguo kisha akachukua mswaki na kuelekea bafuni, alipomaliza kuoga aliamua kulala.
Mama yake alipokwenda kumgongea ili akale alimwambia alikula alikotoka, akamuacha na kurudi sebuleni na kumwambia mumewe kwamba siku hiyo kijana wao alionekana kuchoshwa sana na kazi za ujenzi kwani hawakujua kama hakwenda Madale na fundi Yassin.
Kulipokucha Nelly aliamka na kumkuta mama yake akiwa anafanya usafi jikoni, akamweleza kila kitu kuhusu kusimama kwenda site na fundi Yassin, akamfahamisha kwamba alipata kazi nyingine.
Mama alipomwuliza ni kazi gani alimwambia ya kuosha magari Posta, mama akashindwa kujizuia kucheka, akamwuliza:
Itaendelea