Ana ugonjwa wa moyo niachane nae au nikomae tuu

Nawasalimu kwa jina la jamhuri
Sasa ipo ivi kwenye mahangaiko ya kila siku hatimaye nimekutana na mdada mmoja mzuri sana according to me sifa zake ni mrefu, rangi ni maji ya kunde, ana mwili wa kawaida ana tako kiasi usoni amenivutia sana kikubwa zaidi ni very social apo ndo aliponiweza maana mimi ni wale watu mnawaita introvert so ananichangamsha sana tukiwa tunapiga stories
Sasa tuje kwenye main point nimetokea kumpenda sana na nimemtongoza kanikubalia
Sasa siku zilivyoenda kuna siku tumekaa sehemu akaniomba maji nikampa akatoa dawa kwenye mkoba akaniomba nimkatie maana kimoja alitakiwa anywe nusu kingine robo nilivyoviangalia nikavijua ni vidonge vya matatizo ya moyo nikamuuliza akanieleza kuwa ana hilo tatizo na amekuwa nalo tangu mtoto na amekuwa akihudhuria clinic sasa nikawa nawaza kama nikiingia nae kwenye mahusiano siku napiga mbususu akaja kukata moto sijui dunia itanichukuliaje au baadae km tukiingia kwenye ndoa (nilikuwa na mipango hiyo kama asingekuja kubadilika) alaf akaja kusumbuliwa na hayo maradhi si nitateseka sana na hali ya afya yake
Je? Niendelee nae(kwamba hata wenye maradhi ni binadamu kama sisi na tuwaoneshe upendo kama wengine) au nimpotezee (nimefikiria ata wazazi wetu enzi hizo walikuwa hawaruhusiwi kuoa mtu mwenye maradhi au ukoo wa watu wenye maradhi kwa kabila letu) japo nikimpotezea nitaumia sana maana nimetokea kumwelewa sana.
Jela inanukia,mpaka mahakama ijue alikufa sababu ya ugonjwa wa moyo utakuwa umeshaoza gerezani,pona yako usimgonge kabla hujamuoa bora afie kwenye kitanda cha ndoa,akifia gest au gheto jela inakuhusu
 
Kama umempenda watafute watu wake wa karibu ikiwemo ndugu ambao wanalijua tatizo lake (sio lazima wazazi ila hata wazazi kama inawezekana) waeleze hisia zako kwake na malengo yako kwake kama huna pesa. Huyo binti ni binadamu kama wewe anahitaji upendo, usimzidishie tatizo!
 
Hii n changamoto sana kwa hawa wachumba wa sku hz. Yan ukimkuta hana ugonjwa wa moyo basi ana pumu,,ukikuta hana pumu bas ana matatzo ya hedhi,,,ukikuta hana basi ana maumivu ya kichwa yasiyoisha yaan changamoto sana. Best option ni kuangalia ww upo tayar kuish na hlo tatzo lake?
 
"....... wazazi wetu walikuwa hawaruhusiwi kuoa mtu mwenye ugonjwa..."

Nonsense.

Wewe hujampenda. Watu wanawaoa wenza na virusi vyao wewe kamoyo tu ndo kanakupa presha?

Weka binti huyo ndani.
Navutiwaga sana na comment zako, huwa unacomment kwa hisia sana ila mwisho wa siku unazungumza point .. barikiwa sana mkuu ..
 
Love conquers all. Kama unampenda ile ya Romeo and Juliet then usiogope kuwa nae , GOD will see you through it all..... And mtafika mbali na kuzeeka pamoja.

Nina rafiki yangu alikuwa na highschool Sweetheart wake kipindi wanataka kudo ndipo akagundua kuwa demu ana changamoto ya 'selimundu' (sickle cell). Ila amekomaa nae hadi akaoa na wanaishi pamoja ingawa wanasema odds za mtu mwenye changamoto ya sickle cell huwa ni kutoboa umri wa utu uzima kuanzia 40+.

So unaweza imagine.

So kama unampenda usiogope kuwa nae unaweza shangaaa ndie ukazeeka nae. Hakuna guarantee ya uzima wala afya katika macho au upeo wa mwanadamu ila kwa MUNGU kila kitu kinauwezekano ukiwa na nia nacho ya dhati.
 
"....... wazazi wetu walikuwa hawaruhusiwi kuoa mtu mwenye ugonjwa..."

Nonsense.

Wewe hujampenda. Watu wanawaoa wenza na virusi vyao wewe kamoyo tu ndo kanakupa presha?

Weka binti huyo ndani.
Inabidi jamaaa aseme ni mbio ndefu au fupi asije ua binti wa watu.
 
Chamuhimu upendo acha kujali migegedo
Wanaume upendo wetu ni complex kwa maana tunapooa tunaangalia zaidi cha kuridhisha nafsi (umbo,sura ,gegedo na tabia) sasa hivyo vitu vinaendana sambamba na upendo sjui unanielewa? na haimanishi kikipungua kimoja upendo utapungua unanielewa lakini.
kinachopunguza upendo ni kukosekana respect na uaminifu.
 
Nawasalimu kwa jina la jamhuri
Sasa ipo ivi kwenye mahangaiko ya kila siku hatimaye nimekutana na mdada mmoja mzuri sana according to me sifa zake ni mrefu, rangi ni maji ya kunde, ana mwili wa kawaida ana tako kiasi usoni amenivutia sana kikubwa zaidi ni very social apo ndo aliponiweza maana mimi ni wale watu mnawaita introvert so ananichangamsha sana tukiwa tunapiga stories
Sasa tuje kwenye main point nimetokea kumpenda sana na nimemtongoza kanikubalia
Sasa siku zilivyoenda kuna siku tumekaa sehemu akaniomba maji nikampa akatoa dawa kwenye mkoba akaniomba nimkatie maana kimoja alitakiwa anywe nusu kingine robo nilivyoviangalia nikavijua ni vidonge vya matatizo ya moyo nikamuuliza akanieleza kuwa ana hilo tatizo na amekuwa nalo tangu mtoto na amekuwa akihudhuria clinic sasa nikawa nawaza kama nikiingia nae kwenye mahusiano siku napiga mbususu akaja kukata moto sijui dunia itanichukuliaje au baadae km tukiingia kwenye ndoa (nilikuwa na mipango hiyo kama asingekuja kubadilika) alaf akaja kusumbuliwa na hayo maradhi si nitateseka sana na hali ya afya yake
Je? Niendelee nae(kwamba hata wenye maradhi ni binadamu kama sisi na tuwaoneshe upendo kama wengine) au nimpotezee (nimefikiria ata wazazi wetu enzi hizo walikuwa hawaruhusiwi kuoa mtu mwenye maradhi au ukoo wa watu wenye maradhi kwa kabila letu) japo nikimpotezea nitaumia sana maana nimetokea kumwelewa sana.
Kifo ni mpango wa Mungu ulio kamili kabisa
 
Hebu tuma picha yake kwanza mkuu
 
"....... wazazi wetu walikuwa hawaruhusiwi kuoa mtu mwenye ugonjwa..."

Nonsense.

Wewe hujampenda. Watu wanawaoa wenza na virusi vyao wewe kamoyo tu ndo kanakupa presha?

Weka binti huyo ndani.
Tena nyie wanawake ndio msiongee kabisa. 😀

We Karusii unaongea tu hapa wakati nyie wenyewe mtu akiwa na kibamia tu (ambao wala sio ugonjwa) mnatoka nduki balaa hata hamgeuki nyuma! Sembuse ugonjwa wa moyo?
-----‐-----------
Kwa mleta mada, wewe pima kina cha maji uone je unaweza kuingia ama la? Hakuna mtu atakaekushangaa (including huyo binti) kama utaamua kujitoa endapo utagundua kabisa maji hayo ni mengi kuliko uwezo wako.
 
Back
Top Bottom