Moderators tafadhali msitoe habari hii ni muhimu sana:
Habari za uhakika kabisa ambazo ninazo kutoka kwa chanzo cha kuaminika ni kuwa cwt morogoro manispaa wamakubaliana na mwajiri wa walimu, mkurugenzi wa manispaa na kuwajazia fomu za kuomba mishahara yao ikatwe ada ya uanachama ili hali wao...
Ni sawa kuoa MMERU, mm ni mmeru na angallia jina langu hapo halafu uwakumbuke wakurdi wa kule Iraq ambao ndio walisababisha Sadam Kunyongwa. Ishu ni kuwa kwanza wanawake wa kimeru ni Wakali, kwa hilo jiandae, pili hawataki longolongo katika maisha ni kama wachaga tu uhakikishe unatulia na...
Hii ni civics ya form ii, au hujabahatika kufundishwa, tumwombe zitto, lissu mnyika aje hapa atupe somo. Ni concept yenye nguvu sana kwenye legislature
Ndg wana JF, tukiwa bado tunaangalia sakata la matokeo mabovu ya CSEE 2012, ambapo MaCCM yameendelea kuonyesha utendaji mbovu kwa kufuta matokeo hayo( nasema mbovu kb mpaka matokeo yanatangazwa kikao kilikaa Mwenyekiti akiwa Kawambwa, makamu akiwa Mulugo-kilaza, katibu akiwa Katibu Mkuu...
Hiyo imekaa vizuri sana na ukiona kijana yeyote anashabikia MACCM ama akili zake hazina akili au anafaidi ufisadi kwa namna moja au nyingine. Wengine hatuna uwezo wa nje wa kisiasa lakini uwezo wa ndani wa mipango, support ya hela na mawazo tutayatoa na yatasaida sana kuleta mageuzi tutakayo
Ndugu wana CDM na wapenda Maendeleo wote wa Morogoro, ninakusudia kugombea Ubunge jimbo la Morogoro Mjini mnamo 2015. Tunahitaji mabadiliko Morogoro na haya yanahitaji ushupavu na weledi unaogusa maeneo yote ya kijamii. Kwa Taaluma yangu nina chembechembe zote za Uchumi, Siasa, Elimu, Afya...
Anzia mika y sabini mwishoni mimi nilikuta Crimplin hiyo wanavaa wenye hela,Jeans hazikuwepo kb zilizokuwepo japo zilifanana ziliitwa Lee na hizi lazima uwe umeletewa toka ulaya
ila common ilikuwa suruali bwanga halaf haina selebration na shati tait lazima liwe na mistari ndio kaka modo za siku...
Ndugu wadau, sijui mimi tu nimezidiwa na ukali wa maisha nikaacha kufatilia haya au ndivyo ilivyo. Nakukmbuka nilijiunga na huduma ya miito ya nyimbo katika mtandao wa TIGOzamani nikijua kuwa wimbo huo nitausikia mimi wakati napigiwa. Kinyume chake kumbe ni yule anayekupigia ndie anaburudika at...
da umenikumbusha GM NI MAREHEMU SASA, Kijo yupo, Pusi yupo Moro, Saito kastaafu, Makaranga pia, Master alienda Sua, huyo mwnye miguu kama anaendesha baskeli ni Njiku sio? Bob je? Nkwera je mzee wa viboko visivyo na idadi hadi ukimbie? daah long tym
Waliosema Pussi mzee wa Moustachi yupo Morogoro, sijui Kina Bob mzee wa form 6 lakini anafundisha hesabu /BAM form six, bila kusahau mr Njae a.k.a Ikemefuna akiwa anachambua The River Between hawa wote ni wa Makumira enzi hizo.
Pale Makumira ALIKUWEPO Saito baada ya kufundisha saitoplasm
Kijogoo a.ka Kidamo alikuwa discpline anachomekea suruali kwenye soksi
Makaranga alikuwa headmaster
Pale Siha Sec
Kimondo alikuwa headmaster anakuja mabwenini kujua wanafunzi wanmsemaje
Babu mzee Ngunda wa GS
mwanaume mzee...
Mimi ni raia wa Tanzania kwa Kuzaliwa, nimekuwa na safari ndefu ya kutafuta maisha, bado sijafanikiwa sana lakini kidogo hivyohivyo. Nimefungua shamba la mifugo ambalo kidogo lipo porini. Kidogo naona usalama si mzuri kwani siku hizi mnaweza kutekwa na kufanywa chochote. Ndio nawaza walau niwe...
Ndg wana JF, NIMEKUWA NIKIFUATILIA SANA PROSPECTUS ZA VYUO MBALIMBALI NA KUBAINI KUWA WALIOPEWA VYEO KAMA WAKUU WA IDARA WANA ELIMU NDOGO KULIKO WANAOWAONGOZA. MATHALANI UTAKUTA ASSITANT LECTURE YAANI MWENYE MASTERS NDIE MKUU WA IDARA YENYE MA-DR, MA-ASSOCIATE PROF, NA MAPROF FULL. JE ELIMU SI...
Mimi ni Mtaalam katika Masuala ya Elimu,(Mkufunzi wa Vyuo vya Ualimu) Sayansi ya Viumbe(Biolojia) na Utawala- Bsc Ed,TEP na Masters ya Administration, Planning na Policy Studies.
Naomba mnikaribishe na kushare nanyi mambo yanayojenga jamii. Nitakuwa tayari kujibu au kuchangia hoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.