Msanii wa bongo fleva mwenye mvuto na kupendwa na watu wote ni Diamond, wengine hakuna kitu kwa sasa. Na yeye ndiye anaye ongoza kwa kipato ndani ya bongo fleva. Prof. Jay hakuna kitu tena, ni oil chafu hiyo mku Hii nchi ya ajabu sana no wonder Zamaradi Mketema alienda kugombea ubunge akijiamini. Hivi kupendwa kwa Dimond na vicheche ndo kunakupa mtazamo wa kwamba anaweza kufanya siasa?Diamond anajua nini kwenye siasa?Shule yenyewe hana. Mwananchi wa kawaida kule kijijini sasa ivi anaelewa anaenda kwenye mkutano wa hadhara kusikiliza uchambuzi wa sera na sio pilau na bongofleva kama ilivyokuwa 2005 na sababu ccm wanaichukia m4c ndugu. J ameshuka kimuziki ilo liko wazi lakini sio kifikra hasa za kimapinduzi ambalo ndilo hitajio kubwa ivi sasa katika siasa. Zaid muziki aloufanya prof una thamani sana kimapinduzi na si huu uchafu wa kuimba ili up