Kutoa shilingi na Kushikiria mshahara wa Waziri

Kutoa shilingi na Kushikiria mshahara wa Waziri

Ninavyojua wanaondoa shilingi kwenye hiyo bajeti ya Waziri na sio Mshahara wa Waziri...
Kwahiyo kama bajeti ya wizara ya ujenzi waziri aliomba sh. 100.00 na Mbunge kutoa shilingi bajeti itakuwa sh. 99.00 kwahiyo haita tosha kutumika kwa Mwaka huo wa BAJETI sababu imepungukiwa shilingi

Kwahiyo Waziri atajaribu kuitetea - akishindwa wataunda bajeti mpya - Katibu Mkuu wa Wizara ndie Mhusika Mkuu

Na kama ikiendela na bila shilingi kurudishwa --- Ina Maana Rais anaweza kulivunja Baraza la Mawaziri au BUNGE

wewe ndiye sijakuelewa kabisa na ukilaza wangu wote umenipoteza njia zaidi
 
mimi naona is too personal, kwa mfano kutoa shilingi kwenye msharaha wa waziri hii ni kuwacheka wananchi, kuwabeza na kutudhara, shilingi ina madhara gani kwenye mshahara wa mtu? hata kama analipwa Tsh 30,000 ukisoa shilingi hakuna anachojisikia, kwa sababu haina thamani anyway.

hii ingekuwa ni hadhabu kubwa kwa mataifa yenye uwajipikaji kama JAPAN na kwingineko ambako wato ujiwajipisha kulingana na makosa au kushinda ku deliver expectation , kwa mfano waziri wa nishati kwa nchi kama JAPAN sio tu angejiuzuru lakini pia kungekuwa na uwezekana wa kujinyonga kutokana fedhea ya nchi kuwa na GIZA TOTORO

kwa TANZANIA hakuna haja ya kutoa shilingi ila mambo ambayo hayako sawa yangekua yanarudishwa na kurekebisha kisha kurudishwa kwenye mjadara, kutoa shillingi si sawa na sanaa za kiana majuto, hii ni nchi jamani kuna mambo mengi yametufikisha hapa kwenye maisha haya.
hakuna mbunge ninaye mdharahu kama anayetoa shilingi kwenye bajeti au mshahara wa waziri.
nasikitika kusema hata Mkono wa kwetu ndio kazi yake hiyo kutoa shilingi sasa nini maana ya kuwa na wasomi nchini?

narudia tena tungekuwa JAPAN ni sawa lakini kwa TANZANIA ni no i mean BIG NO

kaka kweli wabongo bado hasa,jamangu usingeanika ufinyu wa uelewa wako.
 
mimi naona is too personal, kwa mfano kutoa shilingi kwenye msharaha wa waziri hii ni kuwacheka wananchi, kuwabeza na kutudhara, shilingi ina madhara gani kwenye mshahara wa mtu? hata kama analipwa Tsh 30,000 ukisoa shilingi hakuna anachojisikia, kwa sababu haina thamani anyway.

hii ingekuwa ni hadhabu kubwa kwa mataifa yenye uwajipikaji kama JAPAN na kwingineko ambako wato ujiwajipisha kulingana na makosa au kushinda ku deliver expectation , kwa mfano waziri wa nishati kwa nchi k


Dah wewe kweli ni kikwazo kama jina lako lilivyo! yani umejikaanga kwa mafuta yako mwenyewe kwa kuongea vapour.
 
Hii ni civics ya form ii, au hujabahatika kufundishwa, tumwombe zitto, lissu mnyika aje hapa atupe somo. Ni concept yenye nguvu sana kwenye legislature
 
images.jpg
Nimesikia leo kwenye bunge la katiba wabunge wakisema "natoa shilingi" ili hoja ijadiliwe katika kupitisha kifungu cha fedha, utaratibu huu una maana gani. Naomba kufahamishwa.
 
Kauli hiyo hutumika wakati bunge linapokaa kama kamati na kupitisha bajeti ya wizara husika. Wakati wa upitishwaji wa bajeti yanapofikia mambo ya kisera(policies) ndipo kauli hiyo hutumika pale ambapo mbunge mmoja anapokuwa hakubaliani na jambo fulani la kisera kwenye bajeti ya wizara husika.

Endapo akisema kuwa anatoa shilingi inamaanisha anapinga sera iliyopo na ku-introduce nyingine na atatakiwa aungwe mkono na wabunge wengine, kisha sera(hoja) aliyoitoa/fahamisha(introduce) itajadiliwa kwa muda na baadae kuulizwa wabunge wanaokubaliana na hoja kwa kusema ndiyooooooooo au siyooooooo

SAID MISSAMA-hapo ndugu inakuja kichwani
 
Back
Top Bottom