Komenti zingine za kipumbavu kabisa. Kanisa linapofanya mipango yake ktk kuboresha huduma zake kwa waamini wake halipangiwi na serikali wala wana jamii forum ndio maana hujawai sikia wanajibu hoja uchwara kama hizi. Kwani waislamu nani kawakataza kufanya mipango yao. Walipowapiga wakristo uko...
Kwa kweli Biblia ni kitabu kitakatifu sana na unaitaji kujipanga sana kuelewa maandishi ya kibibilia. Wee bwana wee biblia sio novel. Sikia wanaposema Musa akuwa na uwezo wa kuongea jitahidi sana kuelewa spiritual sense ya andiko ilo. Musa alikuwa fit kuliko unvyofikilia hiyo ni lugha ya...
Huo ndio ukweli wenyewe tuko nje ya Ulimwengu almost ktk kila kitu to such extent kwamba hata sisi watanzania tu tunaoishi nje ya nchi zetu kwa sababu mbalimbali za maisha tunaona kero pindi turudipo nyumbani. Itakuaje kwa wageni kama hawa???? Mimi najiuliza sana tena sana ninapopaswa kumdirect...
Malta Archbishop Charles Scicluna told a church community recently: "We are not against gays... But we do not need to change the way in which God created marriage to enable us to say that two men or two women can get married.
Nimegundua watanzania kitakachotuua hatukijui mtu kama unachuki bnafsi...
Ndugu umeandika umeeleweka sana. Nadhani ni wakati wa kusimama na kusali kumpinga muovu maana michango ya wanaJF inaweza kukuonyesha ni ulimwengu upi tulionao kwa sasa. Bnafsi ni mtamzania ninayeishi nchi flani hapa Ulaya ninaona namna wapinga Kristo wanavyowatafuta Mapadre na watumishi wengine...
Cardinal George Pell alituumiwa kwa makosa hayo na watu wasiolipenda kanisa Katoriki mwaka 2013 yaani miaka mitatu iliyopita na sasa imekuwa revealed kwamba hakuhusika na kesi tajwa na hivyo ataondoka kwenda nchini kwake kusimama kwenye kesi hiyo kwa maana kwa muda wote huo alifungiwa ili...
From what I know those who tried to define metafisical truths they all ended in vain believe me not what your are trying to do is just to use your physical knowledge to explain things metaphysical. Utaishia kuwa kichaaa tu kaka/dada. We had many stupid philosophers like Kniche a radical Germany...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.